Huyu boss wa mkoa alifanikiwa sana kudeal na biashara ya machinga likini bosi wake akamkatisha tamaa kwa agizo lake kuwa machinga asibughuziwe. Bila shaka anachelea kutumbuliwa iwapo angekaidi kutii agizo lile. Leo tunashuhudia machinga wamepanga bidhaa zao barabarani. Nani ajivishe mabomu kwa kuhoji kibali cha mkuu wa nchi? Tafakari!
(Labda) Yupo nje anashughulikia uzazi..
Toka afunge ndoa Miaka 6 sasa hajapata mtoto.
Aliwahi wakati fulani kuhangaika na suala hili France hakufanikiwa sasa (pengine) ameliendea US.
Ila kwa wakazi wa Dar wamefurahi sana maana MATAMKO ya kijinga yamepungua.
Yaani unafurahisha, wewe mwenyewe unaandika hapa KUULIZA WAPI ULIPOHabari wanajamvi.....
Wapi alipo kijana mwenzetu,Kijan machachari,kijana anayejitumaaaa na kuhakikisha wananchi wake anaowangoza(wananchi wa jiji kubwa,jiji la Dar es salaam) kupata haki zao bila kunyanyaswa na mtu yeyote bila kujali cheo cha mtu,udogo wala ukubwa
Wananchi wa Dar es salaam wamefurahia sana uwepo wa huyu Kijana hasa wale wa hali ya chini,ambao walikuwa wanasanyanyaswa kwa hali waliyonayo na Mkuu wa Mkoa(Paulo Makonda) alihakikishaaa kuwa wote waliodhulumiwa wanapata haki zao
...
Kijana huyu alikuwa amsha amsha,jiji la Dar es salaaam linahitaji kijana Kama hyu Kijana Machachari.....
Sasa naona siku hizi amekuwa kimya sana kulikoni???Au tayri kashaweka sawa matatizo ya wananchi wake?? hasa wale waliodhulumiwa ardhi zao maan Ardhi ni uti wa mgongo..
Wapi alipo huyu kijanaaaaa...Tunamhitaji aendelee kuweka hili jiji sawa.

Sio Mungu wa Dar ni kamungu ka darMungu wa dar
Vijimatamko vyakeMmemiss?
Acha shobo wewe.vyeo vimeshajazwa kote...... afterall huyu unayemshobokea hana nafasi za uteuziHabari wanajamvi.....
Wapi alipo kijana mwenzetu,Kijan machachari,kijana anayejitumaaaa na kuhakikisha wananchi wake anaowangoza(wananchi wa jiji kubwa,jiji la Dar es salaam) kupata haki zao bila kunyanyaswa na mtu yeyote bila kujali cheo cha mtu,udogo wala ukubwa
Wananchi wa Dar es salaam wamefurahia sana uwepo wa huyu Kijana hasa wale wa hali ya chini,ambao walikuwa wanasanyanyaswa kwa hali waliyonayo na Mkuu wa Mkoa(Paulo Makonda) alihakikishaaa kuwa wote waliodhulumiwa wanapata haki zao
...
Kijana huyu alikuwa amsha amsha,jiji la Dar es salaaam linahitaji kijana Kama hyu Kijana Machachari.....
Sasa naona siku hizi amekuwa kimya sana kulikoni???Au tayri kashaweka sawa matatizo ya wananchi wake?? hasa wale waliodhulumiwa ardhi zao maan Ardhi ni uti wa mgongo..
Wapi alipo huyu kijanaaaaa...Tunamhitaji aendelee kuweka hili jiji sawa.
Acha shobo wewe.vyeo vimeshajazwa kote...... afterall huyu unayemshobokea hana nafasi za uteuzi
ha ha ha haSio Mungu wa Dar ni kamungu ka dar
Mkuu tumemmiss kijana shupavu mtetezi wa wanyonge