Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,592
- 11,832
Hiyo ndio kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda akiwataka waendesha boda boda wajitokeze kuchukua fomu kugombea nafasi mbali mbali katika uchaguzi mkuu kupitia CCM.
Anasema CCM kuna Demokrasia ya kutosha hivyo basi ni haki yao kugombea.
Maoni Yangu
Hiki nacho ni kituko kingine kuwahi kutoka kichwani kwa Makonda.!
Sasa sijui hao bodaboda watagombea nafasi gani?
Au anadhani hii nchi ni sawa na Chama cha waendesha bodaboda na wapiga debe.?