Uchaguzi 2020 RC Makonda: Waendesha bodaboda wajitokeze kuwania nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu kupitia CCM

Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
5,592
11,831
Hiyo ndio kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda akiwataka waendesha boda boda wajitokeze kuchukua fomu kugombea nafasi mbali mbali katika uchaguzi mkuu kupitia CCM.

Anasema CCM kuna Demokrasia ya kutosha hivyo basi ni haki yao kugombea.

Maoni Yangu
Hiki nacho ni kituko kingine kuwahi kutoka kichwani kwa Makonda.!

Sasa sijui hao bodaboda watagombea nafasi gani?

Au anadhani hii nchi ni sawa na Chama cha waendesha bodaboda na wapiga debe.?
 
Wameanza kutafuta huruma ccm kwa bodaboda , bila kusahau mwaka huu watachezea kichapo kikali sana.
 
Sisi bodaboda tuna kikao fupi hapa kinaendelea,tutakuja na majibu bodaboda gani mwenzetu achukue fomu ya kugombea urais
 
Back
Top Bottom