johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,965
- 141,968
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amekutana na wachezaji wa Taifa stars na wadau wa michezo walioambatana na timu nchini Misri.
RC Makonda amewapa salamu kutoka kwa Rais Magufuli na kuwaahidi kuwa taifa zima liko pamoja nao. Kadhalika amewataka watanzania kuwa na mawazo chanya juu ya timu yetu ya taifa.
Viongozi mbali mbali wa wizara ya michezo na serikali kwa ujumla wapo Cairo kuhakikisha Kenya anapata kipigo cha mbwa koko.
Source TBC habari
Maendeleo hayana vyama!!