RC Makonda aongoza mkutano wa wachezaji wa Taifa stars na wadau wa michezo Cairo, awapa salam za Rais Magufuli

Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amekutana na wachezaji wa Taifa stars na wadau wa michezo walioambatana na timu nchini Misri.

RC Makonda amewapa salamu kutoka kwa Rais Magufuli na kuwaahidi kuwa taifa zima liko pamoja nao. Kadhalika amewataka watanzania kuwa na mawazo chanya juu ya timu yetu ya taifa.

Viongozi mbali mbali wa wizara ya michezo na serikali kwa ujumla wapo Cairo kuhakikisha Kenya anapata kipigo cha mbwa koko.

Source TBC habari
Maendeleo hayana vyama!!

HIZO NI MBWEMBWE TU ZA KISIASA SALAMU HAZIWEZI KUFANYA TIMU ISHINDE KAMA TIMU YETU HAINA UWEZO.WAO KAMA SERIKALI WAFIKIRI ZAIDI KUWEKEZA KWENYE FOOTBALL INDUSTRY YA NCHI HII.SIO SALAMU ZA MTU NDIO ZIFANYE ETI TIMU ISHINDE.
 
Onyango anaokoa mpira kwenye juu ya mstari kabisa. Zimbambwe wanakosea wapi jamani?????magoal mawili ya wazi kabisa. Go the warriors.

Ule mpira haujavuka mstari, dah pale nilianza kuamini uchawi upo kwenye soko maana ulikwenda kwa speed ulipofika kwenye mstari tu ukasimama..
 
Back
Top Bottom