RC Makonda aongoza mkutano wa wachezaji wa Taifa stars na wadau wa michezo Cairo, awapa salam za Rais Magufuli

the clock is ticking, Victor Wanyama will teach us a lesson.
Go! Kenya Go! kenya 1 - 0 tanzania
Lakini usije kukuta ule ni mpango mkakati kuwe na kama kauhasama fulani ili timu yao ya taifa isione huruma kutuchapanga kwa kigezo cha ujirani au pia kuwaongezea morale wachezaji wao kutudhihirishia we're non.
Fursa hii hii itumiwe na stars kuonesha Kenya hamna kitu.
Sasa hapa kwetu tumeshaanza kulumbana hasa baada ya kwenda kaimu rahisi hapo ndio kazi aiseh.
Maendeleo hayana timu
 
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amekutana na wachezaji wa Taifa stars na wadau wa michezo walioambatana na timu nchini Misri.

RC Makonda amewapa salamu kutoka kwa Rais Magufuli na kuwaahidi kuwa taifa zima liko pamoja nao. Kadhalika amewataka watanzania kuwa na mawazo chanya juu ya timu yetu ya taifa.

Viongozi mbali mbali wa wizara ya michezo na serikali kwa ujumla wapo Cairo kuhakikisha Kenya anapata kipigo cha mbwa koko.

Source TBC habari
Maendeleo hayana vyama!!
Hizo ni "Salamu kutoka kuzimu"!
 
Hapa na mimi inanilazimu nichukue upande bila kujali "Wazalendo" au 'Wasio Wazalendo' wako upande gani.
Nachagua kusimama na Taifa Stars, bila kujali wametekwa au vipi!
Nitaumia sana kufungwa na Kenya!
Acha "Wazalendo", wajisifu katika mafanikio wasiyostahiri kusifiwa. Vijana wetu, Tanzania yetu ni kubwa zaidi kuliko mtu au kikundi chochote. Fanyeni kazi kuliondolea taifa lenu aibu.
Kesho naona tukishinda goal mbili kwa sifuri mapema sana.
Tupo pamoja wazalendo! Kila laheri Star's muhimu ushindi hayo mengine yatafuata baadae.
 
Huyo jamaa mwenye jezi ya blue bahari ni nani mbona anamtizama jamaa kalio kwa hisia kubwa kiasi hicho? Loooo
 
Ameshaharibu :( , Kocha alitakiwa asiruhusu hili kutokea, Wachezaji wanaathirika kisaikolojia, hii baadhi ya Misukuma hovyo sana.
 
Hawa jamaa wanaamini kua wanaweza kupanga kilajambo wamezoe kupanga matokea ya uchaguzi naona wameenda mbali zaidi wanataka wapange matokeo ya Mpira ukiwauliza bajet ya michezo hewa sera za michezo hewa sijui anamdanganya nani kama siokujinda wenyewe.
 
Back
Top Bottom