RC Makonda anatumia msafara wa magari zaidi ya 35


Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
107,489
Likes
132,280
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
107,489 132,280 280
Kama upuuzi wa kiwango cha kusikitisha ni wa Makonda jioni ya leo akiwa kwenye kitu kinachoitwa ziara ya kusikiliza kero za wananchi.

Nikiwa niko Jof pub njia ya Ubungo Maziwa nilishuhudia msafara wa magari yasiyopungua 35 yakiwemo ya jeshi la polisi trafiki na FFU yote yakiwa full loaded.

Gari nyingine zote hazikupungua watu wane! Hakukuwa na gari ndogo hata moja VX V8 zilikuwa tano! Shangilieni huu upuuzi lakini mjue hiki kiama ni chetu sote....
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
107,489
Likes
132,280
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
107,489 132,280 280
Duh! mukulu haoni hili..? au anaacha jipu liive!
Mgema akisifiwa na walevi wenzie tembo ulitia maji
Wote ndio wale wale, Hawa ndio wapambe wa Mukulu!

Kama unavyojua Mukulu hataki washauri yeye ameshikana na wapambe tu!
au ndo maandalizi ya mwaka 2025!
Nataka nione mwisho wa huu mchezo! Lakini ni wazi sasa huko tunakoenda siko kabisa. ...upole tulio nao Mungu azidi kututia nguvu ila siku kikinuka....!!!
 
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
7,111
Likes
6,476
Points
280
Age
23
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
7,111 6,476 280
Nataka nione mwisho wa huu mchezo! Lakini ni wazi sasa huko tunakoenda siko kabisa. ...upole tulio nao Mungu azidi kututia nguvu ila siku kikinuka....!!!
huenda waafrika hatuna sifa ya uongozi tunalazimisha tu! maana nashangaa bara letu ndio bara maskini lkn limesheheni mali!!
kama ni mpira umetupita dobo!
 
E

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Messages
10,888
Likes
4,774
Points
280
E

eddy

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2007
10,888 4,774 280
Kama kama upuuzi wa kiwango cha kusikitisha ni wa makonda jioni ya leo akiwa kwenye kitu kinachoitwa ziara ya kusikiliza kero za wananchi
Nikiwa niko Jof pub njia ya ubungo maziwa nilishuhudia msafara wa magari yasiyopungua 35 yakiwemo ya jeshi la polisi trafiki na ffu yote yakiwa full loaded.

Gari nyingine zote hazikupungua watu wane!hakukuwa na gari ndogo hata moja VX V8 zilikuwa tano! Shangilieni huu upuuzi lakini mjue hiki kiama ni chetu sote....
Tatizo ni magari au mikutano?
 
Aurthur

Aurthur

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2016
Messages
2,681
Likes
1,930
Points
280
Age
15
Aurthur

Aurthur

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2016
2,681 1,930 280
Wabunge na madiwani wamenyamaza acha afanye siasa ha ha ha si hana kazi
 
kichwat

kichwat

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Messages
1,823
Likes
50
Points
145
kichwat

kichwat

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2010
1,823 50 145
kazi ya kusikiliza kero za watu ni kazi ya wabunge na madiwani sasa mkuu wa mkoa anapofanya kazi hizo anataka madiwani na wabunge wafanye nini??
...RC ameanza siku 7 zilizopit . na atamaliza keshokutwa. Hao wengine hatukuwaona kabla, labda tutawaona baadae. Yote heri kwa mwananchi.
 

Forum statistics

Threads 1,273,861
Members 490,528
Posts 30,493,794