RC Makonda: Ambaye hatakuwa na kadi ya bima, hataweza kupata huduma ya afya katika hospitali

Jirani yangu aliumwa, alikuwa anasikia maumivu akikohoa na kifua kinabana pia anatoa makohozi. Alikuwa amenunua mkojo wa punda (Dawa ya kikohozi).

Nilimshauri ni kheri aende hospitali kwa hali yake.
Alijidamka asubuhi akaenda, amerudi na paracetamol. Jamani tulikwenda kwa mphamasia kwenye duka kubwa la dawa akatupa salbutamol na anti inflammatory.

Kuanza kutumia tu ameanza kupata nafuu, aliniletea jogoo nichinje kama asante
 
Back
Top Bottom