RC Makonda: Ambaye hatakuwa na kadi ya bima, hataweza kupata huduma ya afya katika hospitali

MBUZI WAMEIMEZA .........ILIYO HAI NI YA MAENEO YA MAJESHI TU NA GAMBE TUNAGONGA TOKA KUCHEE ASUBUHI NA MAPEMA KABISA ASITUPANGIE JINSI YA KUTUMBUA MAPENE YETU
Hahahahha...umenikumbusha juzi nilimkuta mzee mmoja mstaafu amekaa kwenye kiduka cha mangi saa tatu asubuhi anagonga balimi.
Nikamwambia na mimi nimestaafu...akasema eeewaaaa...karibu.
 
Bima ni shughuli,mie hapa nina bima ila nikienda hizo hospital za serikali kwa ule mzungusho napona kabla sijamwona dokta.

Sasa hapa tu bima zipo kwa wenye ajira na uwezo wa kuwa nazo,je ikiwekwa hio lazima ya kila mtu awe nazo si ndo mgonjwa ataenda hosp leo ila kuonana na dokta ni baada ya wiki moja.

Nchi ilishavurugwa kitambo yaan basi tu wachache wanafaid neema za nchi.
Ahaaa! Umeona eeh! Kukurupuka mbele kwa mbele kila kona. Ndiyo sababu huwa tunasema nchi hainyooshwi bali inavurugwa!!! Wakazi wa Dar chungu nzima hawana kadi za bima na wala hawana uwezo wa kuwa nazo. Kwa hiyo hawa wataachwa wajifie tu!!!
 
Aliwaahidi bakwata kuwajengea ikaishia kuwa kiki, alimuahidi nyumba jamaa aliyetobolewa macho ikaishia kuwa kiki, nyumba za walimu imeishia kuwa kiki........
 
Aliwaahidi bakwata kuwajengea ikaishia kuwa kiki, alimuahidi nyumba jamaa aliyetobolewa macho ikaishia kuwa kiki, nyumba za walimu imeishia kuwa kiki........

Alafu mtu anakuja na eti ni sawa na CDM 100000!Kweli ujinga wa Jamii ni mtaja kwa Baadhi ya wanasiasa! Watu wanahangaikia ile 1000/= ya kujiandikisha wewe unazungumzia Bima.

Hivi anaelewa maana ya Bima??


About 39,000 results (0.42 seconds)
Search Results
Umuhimu wa BIMA ya maisha toka Jubilee Insurance | JamiiForums ...
UrlAdvisorGoodImage.png

JamiiForums | The Home of Great Thinkers › ... › Habari na Hoja mchanganyiko
Translate this page
Sep 7, 2015 - 16 posts - ‎9 authors
Bima ni nini? Bima ni mfumo wa kulipa kiasi cha pesa katika kampuni ya bima ili kujiinua au kujilinda na madhara ya tukio lolote baya litakalotokea...
 
Huu upumbavu wanautoa wapi hawa watu
Wasitibiwe Tz wakatibiwe wapi Burundi
Acheni kitunyanyasa kodi zetu halafu kila siku vijembe vitisho siku mbwa akigeuka kumtafuta mbaya wake mjiandae kukimbilia Rwanda
Mnatuchosha buaaaaana!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
8ab8834c1af1915f3f92e5e832d839db.jpg
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema Serikali itaandaa mpango wa matibabu kwa kutumia kadi ya bima ya afya, kwa wakazi wa Dar, katika Hospitali zote za umma, Mwananchi ambaye hatakuwa na kadi ya bima, hataweza kupata huduma ya afya katika Hospitali za umma popote Dar es salaam.

Chanzo: Mwananchi
Halaf hao watu wakatibiwe kwenye meli za wachina?
 
Back
Top Bottom