Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,691
Hata sishangai.
Mkuu unadhani kwa wale wajumbe wote kwa nini wanyooshe kidole mtu mmoja? Ni kuwa alikuwa akionekana karibu simu zinawekwa kwenye mikoba au kuondoka. Ilikuwa ni aibu sana, ila si unajuwa kuna watu walizaliwa na uso wa mbuzi? They dont careHivi ni kweli kabisa alikuwa na mkono mfupi kwenda mbele?
Waandishi wa habari ndio wamekwapua simu ya RC au?Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salamm, Paul Makonda ameibiwa simu jana baada ya kufanya kikao na waandishi wa habari alipokuwa na balozi wa Korea nchini na aliporudi ofisini na kutaka kumpigia mtu simu ndio alibaini simu haionekani.
Chanzo: JamboLeo
Mkuu unadhani kwa wale wajumbe wote kwa nini wanyooshe kidole mtu mmoja? Ni kuwa alikuwa akionekana karibu simu zinawekwa kwenye mikoba au kuondoka. Ilikuwa ni aibu sana, ila si unajuwa kuna watu walizaliwa na uso wa mbuzi? They dont care
kwahiyo ilikuwa simu zikimuona tu zinaanza kuota vipele vya baridi hata kama kuna jotoUchochezi huuKilichonishangaza sio Makonda kuibiwa simu,bali walioamini hii 'habari'.
Hapo kwa namna moja au nyingine anawatuhumu waandishi wa habari kiaina...jamaa anapenda umaarufu wa haraka ila njia za kutumia kuwa maarufu zina walakini..
Wale wamama wa Bunge la katiba watakuwa wanaangua kicheko kuona mtaalamu wa kukwapua simu naye kakwapuliwa.
Hili ni fundisho kuwa mtenda hutendwa







Mkuu wameichukuwa wazee wa mfumo!!Mle kuna mambo mengi mle.Si kuna habari humu ilikuja kumtahadharisha Bob juu ya hawa na kina Marope sijui na rizimoko ,walio chukua simu wanajua waliko ipeleka
Hahaha si ndio maana jamaa akaja public kutuma ujumbe kwa hao anaowasiliana nao ili wajue hana simuMkuu wameichukuwa wazee wa mfumo!!Mle kuna mambo mengi mle.
Wameichukuwa wenye nchi yao kwenda kuthibitisha yaliyosemwa..Msg zitakuwa zinatiririka tu wakijuwa jamaa ndio anayo simu
Makondeko NtwaraAnother breaking news from Makondeko
Halafu inawezekana kabisa hili tukio kalitengeneza au kajiibia mwenyeweroho haitamuuma sana kwakuwa hata yeye kwenye bunge la kaitiba alifanya jambo kama hilo.
Posho imesitishwa na hata chai pia?Kuna vibaka mpaka ofisini kwa RC ?? Hataree