RC Makonda aibiwa simu

RC Makonda aibiwa simu

hapana hiyo simu atakuwa ameificha makusudi yeye mwenyewe kwasababu anazo zijua yeye.
mm makonda simuani hata kidogo kwasababu mara nyingi huwa anaongea vitu ambavyo haviwezekani.
Hajatajwa siku nyingi..kafunikwa na UKUTA hivyo anatafuta kiki
 
Si kuna habari humu ilikuja kumtahadharisha Bob juu ya hawa na kina Marope sijui na rizimoko ,walio chukua simu wanajua waliko ipeleka
 
Basi leo mtaa wa aggrey hapatakalika maana pale ndo soko la simu zote za figisu
 
Haaa haaa another hit from our artist miye nasubilia vichupa tu na ablam maana hits zimekuwa nyingi sana haaaa haaaa
 
Back
Top Bottom