RC Makonda aibiwa simu

RC Makonda aibiwa simu

Subirini tamko wenda ni ukuta ndio wameiba Simu ya mkuu
 
If i were him wala nisingetangaza haaaa! Ningefungia machungu yangu ktk rambo nyeusiii asingejua mtu nimelizwa!
 
Hapana hiyo simu atakuwa ameificha makusudi yeye mwenyewe kwasababu anazo zijua yeye.

Mimi Makonda simuani hata kidogo kwasababu mara nyingi huwa anaongea vitu ambavyo haviwezekani.
SO NI TRUMP WA BONGO SIO
 
Back
Top Bottom