RC Makonda aibiwa simu

RC Makonda aibiwa simu

Soon tutaziona zile pictures.. Kwenye Mitandao.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salamm, Paul Makonda ameibiwa simu jana baada ya kufanya kikao na waandishi wa habari alipokuwa na balozi wa Korea nchini na aliporudi ofisini na kutaka kumpigia mtu simu ndio alibaini simu haionekani.

Chanzo: JamboLeo
Tutasikia mengi mwaka huu.......................................................
 
Mwambie awasiliane na yule Waziri wa Halbadir Zanzibar inarudi iyo simu.
 
Leo wale wanaojipendekeza watapeleka simu,mwisho wa Siku atakua na simu sii Chini ya 100.Huo ni usanii
mshana jr
 
Hayatuhusu apeleke taarifa kwa Mangu kwa hatua stahiki. Ukiachilia mbali tracking apps polisi ndio wa kufatilia simu zilizoibiwa.
 
Kila mwandishi wa habari aliyekuwepo lazima Makonda ampeleke piraaaa

Ova
 
Wale wamama wa Bunge la katiba watakuwa wanaangua kicheko kuona mtaalamu wa kukwapua simu naye kakwapuliwa.
Hili ni fundisho kuwa mtenda hutendwa
Hivi ni kweli kabisa alikuwa na mkono mfupi kwenda mbele?
 
Nakumbuka bunge la katiba,malipo hapa hapa.....
 
Back
Top Bottom