SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,765
CCM ina kimaviHuyo Diamond siasa za CCM ndio zimemgharimu. Ameona kuendelea kujishijiza na ccm ni kujichimbia kaburi.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
CCM ina kimaviHuyo Diamond siasa za CCM ndio zimemgharimu. Ameona kuendelea kujishijiza na ccm ni kujichimbia kaburi.
Kwahiyo hata hili la usafi ni la CCM ?Naona Diamond akili zimeanza kumrudia Sasa. Kama mtakumbuka watu wengi walimshauri kujitenga na masuala ya ccm baada ya kampeni kali zilizoendeshwa na wanaharakati na kupelekea kukosa tuzo za BET.
Kwa maoni yangu Diamond Yuko sahihi.
Kama hajavunja sheria ni haki yake kukubali au kukataa.Mkuu wangu wa mkoa amesema amesikitishaa na na msanii diamond kuwa balozi wa usafi huku All kiba na Hormones wakipokea kwa moyo mweupe
Hii Domo amezingua au mmaseamaje mwanajf wenzangu hizi shugli za kijamii hata huko kwenye mbele wasanii wanatabia hizi za kunatanata
USSRView attachment 2034294
😂😂😂kwani nguvu zake za mkononi zimetoweka😬😬😬Domo kama domo anaogopa kurogwa hapo😂😂😂
Mondi hajakataa bali ni Waganga wake.Mkuu wangu wa mkoa amesema amesikitishaa na na msanii diamond kuwa balozi wa usafi huku All kiba na Hormones wakipokea kwa moyo mweupe
Hii Domo amezingua au mmaseamaje mwanajf wenzangu hizi shugli za kijamii hata huko kwenye mbele wasanii wanatabia hizi za kunatanata
USSRView attachment 2034294
Michawi mitupu imezidiana kiserikaliMaCCm mamtajuana wenyewe.
Mkuu wangu wa mkoa amesema amesikitishaa na na msanii diamond kuwa balozi wa usafi huku All kiba na Hormones wakipokea kwa moyo mweupe
Hii Domo amezingua au mmaseamaje mwanajf wenzangu hizi shugli za kijamii hata huko kwenye mbele wasanii wanatabia hizi za kunatanata
USSRView attachment 2034294
Diamond yuko kimataifa zaidi!