Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,559
- 45,879
Kweli kabisa mkuu.benk haijaeeza hata kuongeza branch ya pili toka ianzishwe miaka mia moja sasa. Mi naona wacha ife tukirerenya Kuuza mali ya Chama cha ushirika ni uamuzi unaotakiwa kufanywa na mkutano mkuu wa ushirika. Benki ya KCBL mbali na kuwa KNCU ina hisa 68%- ambayo ndiyo mbia mkubwa haiwezi ku- dispose asset ili kuokoa biashara ambayo haijawahi kuuingiza faida tangu kuanzishwa kwake. Kwa mazingira yaliopo sasa hivi kwenye biashara ya mabenki hata wakiuza hilo shamba ili kukidhi kiwango hicho cha mtaji unaotakiwa na BOT ni ngumu sana kushindana sokoni, kwa hiyo uwezekano wa kuanguka ni mkubwa. Hilo shamba afadhali libakie mikononi mwa Chama na baadaye linaweza kuendelezwa likawa na manufaa kuliko kuuzwa ili kwenda kuokoa biashara ya hasara