Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
South Africa wakati Mandela anachaguliwa kuwa rais, wazungu wengi wenye pesa zao hawakuwa na imani na rais mweusi.Kila mahali ni vululuvululu....
Wataalam wetu pale hazina wanatuambia hivi ndivyo viashiria vya kasi ya ukuaji uchumi.
Wengi walihamishia pesa zao Australia, Canada, Europe na kwingineko. Hali hii ilisababisha uchumi wa SA kuyumba. Vijana wa kukosa ajira na matokeo yake ujambazi na wizi uliongezeka.
Wasiwasi wangu ni kuwa, hali inavyoendelea vijana kuiba na kuua kwao hawana cha kupoteza.