RC Kilimanjaro aagizwa kusitisha uuzwaji wa mali za Chama cha Ushirika cha Kilimanjaro (KNCU)

Tun
Tunaomba kwenye CV ya Mr Kitau(mwenyekiti wa bodi ya bank ya KCBL ) aiweke hapa watanzania waione,
Hivi chama cha ushirika ni mali ya mtu au ya wana ushirika.Natamani hii mambo ya ushirika iwekwe wazi.Uongozi dhaifu katika vyama vya ushirikia umesababisha hivi vyama kunufaisha wachache na wengi waliovianzisha kutokuelewa ni nini kinaendelea kutokana na wengi kuwa wazee na vijana na watoto wao kutokupenda kufuatilia Hisa za wazee wao walizoweka kwenye vyama vya ushirika wakati wa uanzishwaji wake.
 
Safi sana!!
Walipe madeni wanayodaiwa na wanachama
Ni wehu kuuza shamba ili kuongezea mtaji benki itkayokufa hivi karibuni.
 
Jamani ,kcbl walaji WA fedha zake wansishi mjino moshi na boma kule hai wakati wakulima na vyama vya ushirika vinakaa vijijini wapi na wapi? Hii bank Ni jipu sasa itumbuliwe,watu waishie gerezani,hata kama bank itafungwa yote sawa kuliko kuhifadhi shamba la bibi mjini. PIA Kuna mdudu mwingine anaitwa TFA, huyu naye wanayemjue waelezee .ova
 
Nimemuona Mr Kitau( mwenyekiti ,bodi ya KCBL Kilimanjaro international airport,anaelekea wapi? Hawa jamaa wakishaiba wanatabia ya kutoroka.
 
Umelogwa na Marehemu mlozi wewe. Tandahimba Community nako ni kaskazini?
Ninyi ndio jirani akijenga au kununua gari mnaenda kwa waganga.
Shkamoo povu...acha kuchukulia kila kitu serious mtandaoni...utakufa mapema
 
Shkamoo povu...acha kuchukulia kila kitu serious mtandaoni...utakufa mapema
Hili ni jambo la msingi Mkuu hutakiwi kulifanyia utani.
Fikiria mijitu imeiba/imejinufaisha kwa jasho la wananchi halafu sasa inataka kuuza mali ya wananchi ili kulipia wizi walioufanya.
Sijui ni kwanini serikali haipigi minada mali za hawa wezi na kisha kuwafunga kifungo cha kutosha.
 
Nilisikia redioni, nikajua ujinga mwingine huko KNCU unakuja. Unaweza kuuza shamba kukuza mtaji wa benki ya mitaani, hovyo kiasi kile!! KNCU! Rubbish group!
 
Nilisikia redioni, nikajua ujinga mwingine huko KNCU unakuja. Unaweza kuuza shamba kukuza mtaji wa benki ya mitaani, hovyo kiasi kile!! KNCU! Rubbish group!
kimsingi hao jamaa wa KNCU ni zaidi ya majambazi yaani wanauza sio kwa manufaa ya KNCU bali kwa manufaa yao kila siku mali za kncu zinauzwa wanagawana fedha kwa madeni ya kutengeneza
 
Hili ni jambo la msingi Mkuu hutakiwi kulifanyia utani.
Fikiria mijitu imeiba/imejinufaisha kwa jasho la wananchi halafu sasa inataka kuuza mali ya wananchi ili kulipia wizi walioufanya.
Sijui ni kwanini serikali haipigi minada mali za hawa wezi na kisha kuwafunga kifungo cha kutosha.
magu amewasikia yaani hawa jamaa ni wezi kupindukia kuna mmoja anaitwa hatibu mwanga huyu ni zaidi ya jambazi kila kitu ameuza kwenye kibo estate kunzia miti materekta ili apate pesa za kumsomesha mwanae africa kusini halafu anawatukana waliomweka hapo kuwa hawajasoma malipo ni hapa hapa duniani
 
Wenzako wa KNCU wanataka kufunika mashimo yaliyochimbwa, ili KNCU isionekane kama kulikuwa na ubadhirifu, PM kawastukia, hakuna kuuza mali, Auditing inakuja ijulikane mapato na matumizi yametumika kivipi pale...Hahahahaha..
Lazima watu waende jela tu..
hatibu mwanga jambazi namba moja nadhani anastahili kuvishwa jiwe shingo na kutupwa bahari ndo adhabu anayostahili
 
Uamuzi wa PM uheshimiwe, nahisi ameshanusa UVUNDO mkubwa ktk KNCU na benki hii. tena upo mwingi sana kwa uongozi huu uliopo. Nawahakikishia mtakuja gundua hata haya mashamba walitaka kujiuzia wenyewe! Tunawajua A-Z
mkuu huwa wanatengeneza madeni hewa ili wauze halafu wagawane mapesa ya maskini ya bwerere hawajawahi hata kuleta shilingi kama faida zaidi ya kuangamiza vilivyopo kuanzia matrekta yaliyokuwepo, malori wao kuuz na tu. walishaazoea kuifanya kncu kama shamba la watu watano , akiongo na hatibu mwanga, huu ni zaidi ya jambazi na anastahili kunyongwa hadi kufa
 
Kama PM hana mamlaka, endeleeni na mchakato WA kuuza Hilo shamba, kama hamtajikuta segerea na hakuna dhamana. Mlizoea
hao jamaa wanakiburi sana baana ya kutuibia kila kitu kwenye kncu na ndo wanaona kncu ni mali yao na ndo hao hao wanadai pm hana mamlaka ya kuzui huo ufisadi .mungu sio athumani jamaa wananyea debe kwa sasa sijui kwa nini binadam ni kiumbe kizito hivyo kusoma alama za nyakati
 
Jamani ,kcbl walaji WA fedha zake wansishi mjino moshi na boma kule hai wakati wakulima na vyama vya ushirika vinakaa vijijini wapi na wapi? Hii bank Ni jipu sasa itumbuliwe,watu waishie gerezani,hata kama bank itafungwa yote sawa kuliko kuhifadhi shamba la bibi mjini. PIA Kuna mdudu mwingine anaitwa TFA, huyu naye wanayemjue waelezee .ova
hatibu mwanga jambazi namba moja na firauni wa kibo estate
 
Back
Top Bottom