Ostrich eggs
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 638
- 453
Ndugu,Ninachojua ni mtu mwenye misimamo isiyotetereka. Haamini sana katika mwanadamu. Alinyanyaswa sana na kina membe alipokuwa lumumba sababu alikataa kutumiwa. Na membe alimuambia utajua mi nani. Alidhani angekuwa rais.
Badae walitaka wamtoe lumumba wampeleke vichororoni sababu ya misimamo yake isioyumba. Hata hivyo sababu anaamini kila jambo ni la Mungu na si mwanadamu basi Magu akapita na kumteua DC na badae RC.
Huyo ndio Ally Happi. Muda utasema.
Pamoja na yote hayo, Ally Happi alionekana waziwazi kuwa kapungukiwa na hekima ndio maana hakuwa na heshima wala adabu hata kwa waliyomzidi umri Baba yake mzazi. Maisha huwa hayako hivyo.
Hata hivyo kwa kuwa bado yu kijana, ninadhani hii ni nafasi/fursa kwake aliyopewa na Mungu kujifunza. Akifanya hivyo ataweza kuja kuwa kiongozi bora na mfano mwema kwa vijana wajao. Amen