sokowelehk
Senior Member
- Sep 16, 2018
- 161
- 126
Kwajinsi nilivoangalia ile clip ya mlalamikaji na mlalamikiwa, nafikili yule mama alitakiwa kuadhibiwa vikali sana ili iwe funzo kwa wengine kama yeye.
Haiwezekani mtu kuvunjiwa nyumba kwa maagizo ya mwenyekiti wa mtaa au diwani au meya. Eti hata mwanasheria, Injinia, Afisa mipango miji, Afisa aridhi, wote hawaelewi ila yeye huyo mama ndo anaelewa zaidi. Kibaya zaidi mzee wa watu kila anapokwenda kupanga mwenyekiti anakwenda kupiga biti.

sa itakuaje