Haya mmeamua kutafuta biashara nyingine baada ya kushindwa ya Kinana.!! Daaaaaa !Ndani ya Sheikh Amri Abeid! !rusha. Kuaga miili ya waliofariki kwenye ajali ya basi dogo. Watu 35 wakiwemo wanafunzi 32, walimu 2 na dereva 1 wa Shule ya Lucky Vicent.
Nilikuwa Jukwaa kuu. Karibu na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan. Muda wa salamu za rambirambi ukafika. Wakuu wa kiserikali na kisiasa wakawa wanakaribishwa. Mkaribishaji ni RC Mrisho Gambo wa Arusha. Mwenyeji
Wasaidizi wa Mama Samia wakapata ujumbe mfupi kutoka kwa Mbowe. Wakamletea Mama Samia. Mama Samia akamuagiza mmojawapo amuite RC Gambo ili amuagize jambo. Jambo muhimu la kisiasa na kiserikali. Amri
Mama Samia,Gambo alipokuja, akamuagiza Gambo awaongeze Mbunge Lema na Meya Lazaro kwa watoa salamu za rambirambi. Wakati huo,mzungumzaji alikuwa Ndugu Simbachawene. RC Gambo akatikisa kichwa kumkatalia Mama Samia. Akina Lema hawakuongezwa
Amri ikakataliwa. Mamlaka ikakosewa. Kinachotakiwa sasa ni kumuondoa Gambo kwakuwa Makamu wa Rais,kama taasisi ya pili ya juu nchini,lazima alindiwe heshima yake. Who is RC!?
Bastola ya nini tena jamani!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
Naandikakuhusu tunaojadili hapa, sasa kamakuna mtu ana mhemkoni wewe unayetoamaneno yangu nje ya context.
Pia, hata hao kina Gambo na wapinzani sijawasikia wakijadili jinsi ya kutatua tatizo la ajali.
Siamsikia Lema akiongea kuhusu kutatua tatizo la ajali, nasikia analalamika hajapewa mualiko kuhutubia.
Zaidi,unapoandika "angeshughulika na kumwomba mama Samia atoe utatuzi wa janga hili la taifa" huyo Mama Samia ni Mungu mtu gani atoe utatuzi wa janga hili?
Hiii habari ya kufikiri viongozi wana uwezowa kutatua matatizosugu ya nchi, na tunachotakiwa kufanya ni kuwaomba tu watoe funguo za kufungua mlango ambao una utatuzi wa matatizo haya, ni ukosefu wa fikra na utapiamlo wa mawazo.
Nani ana mhemko sasa?
Vipi kama alimuuliza ''Hawa vipi, tuwaweke??'' Gambo akamjibu hapana... watachafua hali ya hewa!Bado unataka tukuamini??Ndani ya Sheikh Amri Abeid Arusha. Kuaga miili ya waliofariki kwenye ajali ya basi dogo. Watu 35 wakiwemo wanafunzi 32, walimu 2 na dereva 1 wa Shule ya Lucky Vicent.
Nilikuwa Jukwaa kuu. Karibu na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan. Muda wa salamu za rambirambi ukafika. Wakuu wa kiserikali na kisiasa wakawa wanakaribishwa. Mkaribishaji ni RC Mrisho Gambo wa Arusha. Mwenyeji
Wasaidizi wa Mama Samia wakapata ujumbe mfupi kutoka kwa Mbowe. Wakamletea Mama Samia. Mama Samia akamuagiza mmojawapo amuite RC Gambo ili amuagize jambo. Jambo muhimu la kisiasa na kiserikali. Amri
Mama Samia,Gambo alipokuja, akamuagiza Gambo awaongeze Mbunge Lema na Meya Lazaro kwa watoa salamu za rambirambi. Wakati huo,mzungumzaji alikuwa Ndugu Simbachawene. RC Gambo akatikisa kichwa kumkatalia Mama Samia. Akina Lema hawakuongezwa
Amri ikakataliwa. Mamlaka ikakosewa. Kinachotakiwa sasa ni kumuondoa Gambo kwakuwa Makamu wa Rais,kama taasisi ya pili ya juu nchini,lazima alindiwe heshima yake. Who is RC!?
Bastola ya nini tena jamani!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
Hahahaha wajameni mnatujazia simu zetu! Hivi hakuna kazi nyingine ya kufanyaHawa watoto BASHITE na Gambo wanamdharau sana mama Samia Suluhu.
Hamna marefu yasio na ncha
Umeruka hoja umeleta viroja.Mkuu;
Mbona unalipigia jibu mstari?? Unauliza ati Nnani mwenye mihemko?? Hujioni?? Yaani hata kusoma ulicho andika ni kazi kwako?? Pole zako. Sibishani na wenye mihemko, naona BP ishakupanda tiyari. Angalia usije anguka gizani saa hii wakasema ulikuwa miongoni mwa wahanga wa hiyo ajali
Sijamsikia akimtaja Lema, nimesikia amemtaja Meya tu,Na kuonyesha hilo limemkera Mh Makamu wa rais ikabidi awatambue wakati anajiandaa kutoa pole. Sasa asiye jaribiwa au kupangiwa atafanya jambo??
Mbowe kaongea kama Nani ? Na kivipi mbunge hajaongea?Ramli chonganishi hii
Bavicha bana,wewe ulimsikia wakati anamuelekeza Mrisho amuingize Lema?Je kama ndio alikuwa anaelekeza Lema asiongee?
Halafu sio lazima Lema aongee,Mbowe bosi wake ameshaongea inatosha kabisa.
Chadema acheni kutafuta kiki kupitia misiba
Mwananchi hana mamlaka zaidi ya kutoa mwongozo na mawazo yake kwa viongozi wao ili kuweka sheria za kudhibiti ajali.Sasa ndiyo hao wanahold hata misiba utegemee nini cha maana.Sijaongelea viongozi.
Naongelea wananchi hapa jamvini.
Hao viongozi bila msukumo wa wananchi hawawezi kufanya lolote la maana.
Na wananchi wamebaki kukaa kuwaangalia viongozi.
Ndani ya Sheikh Amri Abeid Arusha. Kuaga miili ya waliofariki kwenye ajali ya basi dogo. Watu 35 wakiwemo wanafunzi 32, walimu 2 na dereva 1 wa Shule ya Lucky Vicent.
Nilikuwa Jukwaa kuu. Karibu na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan. Muda wa salamu za rambirambi ukafika. Wakuu wa kiserikali na kisiasa wakawa wanakaribishwa. Mkaribishaji ni RC Mrisho Gambo wa Arusha. Mwenyeji
Wasaidizi wa Mama Samia wakapata ujumbe mfupi kutoka kwa Mbowe. Wakamletea Mama Samia. Mama Samia akamuagiza mmojawapo amuite RC Gambo ili amuagize jambo. Jambo muhimu la kisiasa na kiserikali. Amri
Mama Samia,Gambo alipokuja, akamuagiza Gambo awaongeze Mbunge Lema na Meya Lazaro kwa watoa salamu za rambirambi. Wakati huo,mzungumzaji alikuwa Ndugu Simbachawene. RC Gambo akatikisa kichwa kumkatalia Mama Samia. Akina Lema hawakuongezwa
Amri ikakataliwa. Mamlaka ikakosewa. Kinachotakiwa sasa ni kumuondoa Gambo kwakuwa Makamu wa Rais,kama taasisi ya pili ya juu nchini,lazima alindiwe heshima yake. Who is RC!?
Bastola ya nini tena jamani!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
Mwananchi hana mamlaka zaidi ya kutoa mwongozo na mawazo yake kwa viongozi wao ili kuweka sheria za kudhibiti ajali.Sasa ndiyo hao wanahold hata misiba utegemee nini cha maana.
Sijui huwa wanafuata nini kanisani/misikitini!
Huyu Gambo na yeye kamaliza shule kweli? Sababu
Anamdharau sana mama samia suluhu huyu kijana,kakosea sana,magu kashawaharibu hawa vijana.