RC Arusha Aponea Tundu la Sindano!

chezea magamba ww!hata siku moja gamba halimkamati gamba mwenzake.labda awe msaliti
 

Ushatoka kumsifia mpaka katika uliberali?
Hakuna anayechukiwa bali ni watu waongoze kwa sheria na taratibu zilizowekwa sio madaraka.
 
Akiondoka Mulongo anaingia Mwigulu sasa sijui mtaponea wapi.

Mwigulu kesha pigwa ban hata na chama chake cha magamba asikanyage A town itakuwa kwenda kutawala Arusha? Ule ni mji mwingine best
 
Magesa Mulongo ametokea Bagamoyo huja Arusha kuwa mkuu wa mkoa; kumbuka Bagamoyo ndio nyumbani kwa Kikwete hivyo hawa jamaa wanafahamiana sana; kama Muhongo ni mla rushwa ni lazima alianza huko huko bagamoyo kwao mkulu na hakuthibitiwa badala yake akapanda cheo.
 
Hizo ni damu za bomu la kanisani na la SOWETO zinamwandama kwani yeye na Nchemba ndio washukiwa namba moja bila kumsahau nepi.
 
Shida ya Mulongo na watu wenye tabia kaa zake wakiwekwa kwenye Position kama hizo wanajiona wao ndio wao,kiburi cha utawala na ubabe wanajiona wanajua yooote kuliko awaye yote kumbe nasi tulioko mtaani tunawapuuza.
 

Anakerwa na Ufisadi! Binafsi nampongeza mleta uzi.

Bora afe maskini auone ufalme wa Mungu kwa kusema kweli, wewe utakufa tajiri na kuishia jehanam!
 
ukiona kuna -------- anafanya upumbavu, halafu waliomtuma kazi hawauoni upumbavu wake basi ujue ndio waliomtuma kuutekeleza.au labda ni wapumbavu jumzidi huyo -------- au hukuona aluyetoa amri ya kuua akipandishwa cheo.huoni aliyetoa cheo ndo muuaji zaidi.akili kumkichwa
 
Wenyewe ndo wanamuona kiongozi bora!!! Usishangaa ukasikia kaukwaa uwaazili
 
mulongo hajui kutofautisha chuga na bwagamoyo, na bado tutamvizia na kumpa kichapo mpaka atajuta

laway ok khaye!huo ndiyo ukweli,huyu asipende kuleta za bagamoyo chga,hapa ataondoka tena kwa aibu,he has to watch outrather than watching in
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…