Nimesoma kauli za RC wa Arusha leo kwenye vyombo vya habari vya Tanzania kuwa makachero wameshanasa ushahidi muhimu , nafikiri ni kauli ya mfa maji, naweka hapa jambo moja la kuwasaidia polisi kumchunguza Huyu Rc wa Arusha bwana Magesa Mulongo.
siku ya tukio , Magesa Mulongo alikuwa kwenye Msiba Rombo Mkoani Kilimanjaro, na ktk msiba ule ilipofika majira ya saa nane mchana hata kabla ya mwili wa marehemu kuingizwa kaburini kwa maziko aliomba radhi kuwa kuna tukio muhimu Arusha na anatakiwa kuondoka kuelekea Arusha , hii ilikuwa saa nane mchana , aliondoka msibani na kuomba mkuu wa Wilaya ya Rombo awe mwakilishi wake kwenye msiba huo.
Baada ya kuondoka , jioni saa kumi na mbili tunapata habari za kulipuka kwa bomu, polisi muulizeni haya,
Ni tukio gani muhimu alikuwa analifuatilia Arusha ? Au ndio hilo la mlipuko wa Bomu?
Mbili,kama sio tukio la bomu kulikuwa na tukio gani lingine huko Arusha?