RC Arusha Aponea Tundu la Sindano!

Jamaa ni taahira ila Jk hawezi tofautisha wenye akili timamu na mataahira kama huyu na akina mwingulu.
 

Magesa mwenyewe akiiona hii post yako atajua unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

hakuna ofisi hata moja inayotaka kufanya kazi ya na uyu magesa, muda sio mrefu atarudishwa huko Pwani.

Daud Mchambuzi;
Nikushukuru sana kwa kuvaa viatu vyangu na vimekuenea kabisa! Haya majibu yako kwanza si ya hasira lakini pili yamejaa ukweli na tatu umetoa na elimu pia'

Kuna baadhi ya watu wapi kazini wao ni kutetea tu lakini kumbe wakati mwingine wanaharibu mpaka yule anayetetewa anahisi anapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa na hapo ndipo jibu lako liliponigusa
 
kumbe swala lenyewe la kutunga umbea wa nini sasa humu lete kitu chenye ukweli.
 

magesa anawanyima usingizi kwa kusimamia taratibu.
 
kama hata migogoro ya wanafunzi kama wa Ilboru sekondari,IAA inamshinda kutatua ataweza ataweza ya jiji la Arusha? ng'oka 2 baba wameshakuchoka ucje uawa bure
 
ninawatakia kila la heri katika huo mkakati wenu , malipo ni hapahapa .
 
huna uarusha wowote we ---- tu!
 
Ile message kwa Lema ingemrudi... ameruka kihuzi hiki...
 
House boy wa JK anapopata changamoto katika utendaji kazi wake. Hasa anapokuwa kiherehere katika kazi.
 
Ingawa RC Arusha amethibitika kuwa na kasoro kubwa, andiko hili linathibitisha ukweli kwamba muandikaji binafsi kaguswa sana na tabia ya RC.
 
Usisifie ujinga kisa t unayemwongelea ni rc, huyu atabaki kuwa ----- tu hata kama ni mlipaji kisasi, ndo tabia aliyenayo bosi wake jk.
 
basi haya kazi ipo mwaka huu, mpaka mwaka huu uishe tutaona mengi
 
Huyu jamaa Mulongo si aliwahi kuwa house boy pale namba 10 Downing Street ya Bongo...
 
Kuna tetesi zinazoendelea kuwa yeye na mkuu wake wa wilaya watahamishwa hapa Arusha,sijui watawapeleka wapi hawa majamaa,milipuko miwili(olasiti na soweto)zitawtoa Arusha!Hili la rushwa pia halitambakiza,ataondoka kwa aibu hapa Arusha asipoangalia.
 

Peleka hizi riwaya kwenye vijiwe vya chama chenu mkijifurahisha na kujitakia mapumziko ya mashaka.
 
Kuna tetesi zinazoendelea kuwa yeye na mkuu wake wa wilaya watahamishwa hapa Arusha,sijui watawapeleka wapi hawa majamaa,milipuko miwili(olasiti na soweto)zitawtoa Arusha!Hili la rushwa pia halitambakiza,ataondoka kwa aibu hapa Arusha asipoangalia.
lile ni jembe haliwezi kuondolewa hata mumpakazie vipi, mpaka wezi wote pesa za umma awamalize hapo arusha kujilipua mjilipue wenyewe kisha aondolewe Maggese?

 
Duh.... aisee, kumbe jamaa hulka yake na vitendo sawa!
 
shida ya mashaitwan wa kijani ni kulindana kama kunguru wa kihindi! Kelele nyiingi vaaa vaaa! Mene mene tekel uparasin!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…