RC Arusha amvaa Mbowe, CHADEMA

Napitia kidogo hizo red na naomba msaada kwenu, Magessa kwani kwao ni arusha? hata kama wengi wao wanatoka nje ya arusha so waache haki ikisiginwa arusha bila kuingilia?
Naomba kujua wasifu wa huyu mtu na ninaona kabisa hapa kuwa kwa style hii amani haiwezi kupatikana ktk nchi hii.
Narudia tena who is Magessa?

Asili ya jina hili ni Wajita wa mkoa wa Mara, kwa kutazama jina lake na yeye siyo Yero maasai" wa Arusha. Sana sana labda alikuwa anagfikisha ujumbe kwa Mary Chata-Anda!
 
Nimependa kauli yake kwamba hata wakiingia madarakani.........,kumbe analitambua hilo na anaamini jamaa wanaweza kukamata dola
 
Magesa mulongo amefanya vile vile kama ambavyo wanajamii walivyomtabiria hapa jamvini kwahiyo hajatuangusha kabisa
kwahiyo wale mliosema kuwa mulongo alichaguliwa kwa ajili ya kufanya kazi za kuhujumu chadema you were right na hongereni. Kibaya zaidi ktk hili ni kwamba akili aliyokuwa nayo magesa ina reflect akili aliyokuwa jk kwa kitendo chake cha kumteua mtu mwenye uwezo mdogo kama huu kuwa mkuu wa mkoa tena wa arusha ni aibu tupu.
 
Napitia kidogo hizo red na naomba msaada kwenu, Magessa kwani kwao ni arusha? hata kama wengi wao wanatoka nje ya arusha so waache haki ikisiginwa arusha bila kuingilia?
Naomba kujua wasifu wa huyu mtu na ninaona kabisa hapa kuwa kwa style hii amani haiwezi kupatikana ktk nchi hii.
Narudia tena who is Magessa?

jamaa ni mzaliwa wa kibara-bunda katika kijiji cha mwigundu wazazi wake ni wachawi ile mbaya.
 
Hivi mkuu wa Mkoa (Arusha) ni nani hadi atishe watu? Faizafox najua ulioegemea ila nasikitika sijui maslahi yako kwa wanaosigina haki ya raia, siku moja utangaze maslahi yako toka kwao

Nyie siasa ya haki mnaijuwa leo? Wenzenu CUF ndio sera yao hiyo na wakaona fujo haiwafikishi mahali. Nyie haki gani mlionyimwa nyinyi wengine wakapewa? Kura tunapiga wote. Nini zaidi? Tatizo lenu Kikwete kuwa Rais? Mkiambiwa tuonesheni jema kabla ya Kikwete ambalo Kiwete hajafata japo mara mbili yake, hamna jibu. Ooohh "ufisadi" huo ufisafi kuna anaeushughulikia zaidi ya Kikwete? Mnanchekesha!
 
Najua tatizo ni Oblangata yako na hypothalamus waya zinaingiliana...
 
hawa ma RC wawili wamesha chemsha tungekuwa na serikali makini wangeodolewa kwenye nafasi hizo Kadoro Mbeya na Magessa Arusha idadi itaongezeka zaidi kwani wengi wana agenda zao walikwenda nazo kwenye vituo vyao vya vipya vya kazi
 
Jambo moja nililo na uhakika ni kwamba magesa mulongoa anakimbia mbio za sakafuni!
Kwa jinsi ninavyowafaham watu wa arusha, yeye si anajaribu kuwabeep, sasa watakapompigia ndipo atakapofahamu tofauti ya bagamoyo na arusha.

Na muda si mrefu atapiga kimya hiyo ni nguvu ya soda na hajui anafanya nini arusha kwani anaonekana ni zuzu.
 
RC is 100% right.

CHAPA KAZI KIONGOZI, HAKUNA WA KUKUTISHA. UNAYO SUPPORT YA WANA-ARUSHA.

Wakati mefika kusafisha mambo ya kihuni Arusha. Enough is enough.
Wewe mwa Arusha au ni kama huyo Kibaraka wako unaemwita RC? Mwana Arusha hawezi kua na akili ya kushikiwa kama yako. Wana Arusha hatutumii masaburi kufikiri kama unavyodhani..mwana Arusha calls a spade a spade..
 
Huyu mkuu wa mkoa nadhani haijuo Arusha!! hebu ngoja tumpe muda atakimbia uchi arudi huko bagamoyo shenzi type zake!! **** mkubwa wewe!!
 
Nyie siasa ya haki mnaijuwa leo? Wenzenu CUF ndio sera yao hiyo na wakaona fujo haiwafikishi mahali. Nyie haki gani mlionyimwa nyinyi wengine wakapewa? Kura tunapiga wote. Nini zaidi? Tatizo lenu Kikwete kuwa Rais? Mkiambiwa tuonesheni jema kabla ya Kikwete ambalo Kiwete hajafata japo mara mbili yake, hamna jibu. Ooohh "ufisadi" huo ufisafi kuna anaeushughulikia zaidi ya Kikwete? Mnanchekesha!
Zile dawa zako za ktuliza kichaa umeshameza au bado!! hebu fanya hima kameze haraka usije ukaharibu dozi bure...
 
Nyie siasa ya haki mnaijuwa leo? Wenzenu CUF ndio sera yao hiyo na wakaona fujo haiwafikishi mahali. Nyie haki gani mlionyimwa nyinyi wengine wakapewa? Kura tunapiga wote. Nini zaidi? Tatizo lenu Kikwete kuwa Rais? Mkiambiwa tuonesheni jema kabla ya Kikwete ambalo Kiwete hajafata japo mara mbili yake, hamna jibu. Ooohh "ufisadi" huo ufisafi kuna anaeushughulikia zaidi ya Kikwete? Mnanchekesha!

Nilikuwa nakuona wa maana kweli, kumbe leo ndio umenithibitishia kuwa nilikuwa very wrong. Nimekushusha thamani kuliko taka lol..
 
Tatizo la kazi zenyewe wanapewa baada ya kuoneka wanajua kufua soksi vzuri au kusafisha viatu vya mkwele, huwa wanamatatizo sn.
 
Back
Top Bottom