Mulongo alikejeli falsafa ya nguvu ya umma na maandamano inayotumiwa na Chadema kiasi cha kuchafua hali ya hewa ya kikao hicho baada ya madiwani na viongozi wa Serikali za Mitaa waliopata nyadhifa zao kupitia udhamini wa chama hicho cha upinzani kususia na kutoka nje.Viongozi hao walisema wasingeweza kuendelea kumsikiliza mkuu huyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoani hapa.Mulongo aliitisha kikao hicho kwenye Ukumbi wa Bwalo la Polisi ili kujadili na kupeana mikakati ya maendeleo kwa viongozi na watendaji wa Manispaa ya Arusha.
Kuna mtu (Mbowe), juzi alikuja hapa na kuhoji hivi Mkuu wa Mkoa (Arusha) ni nani hadi atishe watu? Sasa leo nimewaiteni hapa kuwaambia mkuu wa mkoa ndiye mimi. Sikupendezwa sana na maneno hayo, lakini sitaki kuingilia mambo hayo kwani wazee wetu walitufundisha kuwa ukioga ziwani, akaja kichaa akachukua nguo zako nawe ukichomoka kumfukuza, utaonekana kichaa ni wewe, alisema Mulongo.
Alihoji pia uwezo na ujasiri wa Mwenyekiti huyo wa Chadema kutoa masharti kwa Serikali kuhusu mkutano wao wa hadhara uliofanyika Jumatatu iliyopita.[/I]
[/I].[/QUOTE]
NILIPOSOMA TAARIFA HII ILINIPATA TAABU KIDOGO KUAMINI KAMA HUYU NI MTU MWENYE WADHIFA WA MKUU WA MKOA AMA NI KATIBU WA CCM WA MKOA? KWA UFAHAMU WANGU MKUU WA MKOA NI MTENDAJI WA SERIKALI YA MKOA, HANA HAJA KUHUBIRI SIASA ZA CCM KWENYE MAJUKWAA, AMA HUYU NDIYO WALE WANAOPEWA VYEO KWA SABABU YA KUIMBA CCM NAMBARI ONE KWA BIDII? KWANI KULE KWA KOMBA (TOT) KUMEJAA? KWANINI ASIENDE HUKO? KWANZA LABDA TUPAYE WASFU WAKE KABLA HATUJAMLAUMU SANA, KWA ANAEUFAHAMU, JAMANI! AMA NDIYO WALE MAKADA WAZURI?
TUMEAMBIWA NA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI KWAMBA MSEMAJI MKUU WA CCM NI NAPE SASA HUYU NAYE ANAIPENDA NAFASI YA NAPE PIA?
MAJIGAMBO YA UKUU WA MKOA HAYAMSAIDII JAMAA HUYU, AJUE KWAMBA TANZANIA NI YA WATANZANIA NA SI YAKE WALA POLISI, TUNAPENDA AJUE HIVYO, NA ANASIKITISHA SANA KWA KUTOKUONA ALAMA ZA NYAKATI. HATA KAMA KUSOMA HAJUI JEEHATA PICHA HAOINI?
mbowe NI MWAJIRI WAKE ASIJARIBU KUMDHIHAKI KWA VILE NGUVU HIYO YA UMMA ANAYOIKEJELI ITAMNYIMA UGALI MUDA SI MREFU. NA KWA UELEWA WANGU WATU KAMA YEYE WAPOTEZA KAZI NA YEYE HANA MUDA MREFU TUTAMSIKITIKIA AKIWA BARABARANI AKIONGEA PEKEYAKE WAAJIRI WAKE TUTAMKANA KABLA YA JOGOO KUWEKA.
KWA HERI WEE MULONGO, ARUSHA SIYO KWENU WALA SIYO KWAKO WEWE UMEPEWA UKUU WA MKOA KUSIMAMIA MAMBO YAENDE VIZURI NA SIYO KUAMURU POLISI WAWAPIGE WATU.
MBOWE KAMANDA BORA SANA KULIKO WEWE, LEMA KAMANDA BORA SANA KULIKO WEWE.