LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
muacheni tu,kihama kinakuja na atayakumbuka hayo maneno
Huyu Magesa ameamua kupayuka tu! Si aondoke akafanye kazi aliteuliwa akasimamie.
muacheni tu,kihama kinakuja na atayakumbuka hayo maneno
Mungi.
Jaji Rwakibiria alimtia Lema, hatiani kwa kosa la 'Illegal Campaign' kwa kutoa kauli za kumbagua kijinsia Dr Burian.
Kwa mujibu wa sheria za uchaguzi makosa yote yaliyokuwa yanamkabili Lema, makosa mawili yanaangukia kwenye kifungu cha 108, kifungu kidogo cha pili aya 'A' ambayo huruhusu aliyevuliwa ubunge kukombea kwenye uchaguzi mdogo.
Kifungu cha 114 cha sheria ya uchaguzi kinazungumzia 'Illegal' kwa hiyo Jaji alitoa hukumu sahihi.
Anaanza kujikomba kwa magamba kwani amekaribia kustaafu? Maana ndo hao wanataka baada ya kustaafu waje angalao wapewe ukuu wa wilaya/mkoa na sitoshangaa chadema wakichua dola akahamia kuwa upande wao. Hivi nae kasahau kazi yake kaingia kwenye siasa ama police nao ni wanasia?