RC Arusha ampongeza jaji aliemvua ubunge Godbless Lema...

Mahakama imefanya kazi yake kwa mujibu wa sheria za nchi Lema, kakutwa na hatia tujenge utamaduni wa kuheshimu sheria...RC katoa pongezi kwa Jaji kwa kusimamia sheria za nchi hakuna ubaya wowote...mbona Mbowe, alitoa pongezi kwa Jaji kule Singida kwenye kesi ya Tundu Lissu.
Tende na halua zimekuharibu sana!
 
Jana RC wa Arusha (Magesa) aliwashukuru majaji kwa kazi waliyoifanya, imesaidia kurudisha amani Arusha na alisema wale wasioridhika waende kwenye ngazi inayofata na siyo kulalamika na kunyooshea watu vidole kwani haisaidii kwani imeshafanyika na na maamuzi tayari yameshatoka…..
Magesa nilini amani Arusha ilitoweka na ni nani aliitoa amani, je amani inaletwa mahakama na kuajiri polisi wengi nchini…..

Ulevi tu wa madaraka na hawa ndio wateule wa raisi na kazi zao ni Kama hizi.Muda uliobaki ni Mdogo sana sasa Kama anafikiri atadumu ktk nafasi hiyo milele,,,!!!!!!
 
Crashwise,
Wewe ulikuwa unataka RC wa Arusha afanyaje?

Unafurahia serikali kupanga bajeti ya uchaguzi wa Arusha kwa upumbavu wa Rwakibarila?
Kumbuka kesi zote zilizotupiliwa mbali na mahakama zilikosa ushahidi wenye mashiko wa kuishawishi mahakama kutengua matokeo. Lakini chakushangaza kwa jimbo la Arusha Rwakibarila (siyo mahakama) ametengua matokeo kwa hear say. Imemtia hatiani kwa kosa lingine kupitia kifungu kingine cha sheria ya uchaguzi, hukumu ikatolewa kwa kifungu kingine.

Mulongo kama kiongozi alitakiwa kuwapa pole wana wa Arusha kwa upuuzi uliofanywa na Rwakibarila.
 
Huyu RC ni MPYA alijuaje mabaya ya Mbunge wa Arusha Mjini? aliyasikia kama sisi tu? Hii ndio inaonyesha upungufu wa Uongozi nchini kwetu kuwa na sura mbili na kubobea kulamba lamba wakuu miguu ili kupewa Vyeo tu na sio Kufanya kazi

Nchi yetu kila mtu ili upata Uongozi ni kulamba miguu ya wakuu wako au uwe mtoto wa kigogo period. wengine tokeni Jasho
Ulimuona siku anaapishwa pale ikulu? mimi nilijua nakuja kufanya kazi maalum na ndiyo haya tunayaona...
 
Jana RC wa Arusha (Magesa) aliwashukuru majaji kwa kazi waliyoifanya, imesaidia kurudisha amani Arusha na alisema wale wasioridhika waende kwenye ngazi inayofata na siyo kulalamika na kunyooshea watu vidole kwani haisaidii kwani imeshafanyika na na maamuzi tayari yameshatoka…..
Magesa nilini amani Arusha ilitoweka na ni nani aliitoa amani, je amani inaletwa mahakama na kuajiri polisi wengi nchini…..

Anaanza kujikomba kwa magamba kwani amekaribia kustaafu? Maana ndo hao wanataka baada ya kustaafu waje angalao wapewe ukuu wa wilaya/mkoa na sitoshangaa chadema wakichua dola akahamia kuwa upande wao. Hivi nae kasahau kazi yake kaingia kwenye siasa ama police nao ni wanasia?
 
Mahakama imefanya kazi yake kwa mujibu wa sheria za nchi Lema, kakutwa na hatia tujenge utamaduni wa kuheshimu sheria...RC katoa pongezi kwa Jaji kwa kusimamia sheria za nchi hakuna ubaya wowote...mbona Mbowe, alitoa pongezi kwa Jaji kule Singida kwenye kesi ya Tundu Lissu.
Jaji gani alie makini anaweza kuhukumu hukumu ya kipumbavu namna hiyo? uliza hata mwanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza atakuambia achilia mtoto wa darasa la tano asingeweza kufanya aliyoyafanya jaji njaa.....................
 
Majaji hawapongezwi,Kutoa hukumu ni sehemu ya kazi Yao. Mkuu wa mkoa anasyndrome ya kuvalishwa mashada ya maua shingoni. Ukivalishwa shada la maaua wakati wa kuapishwa ni dalili ya mapungufu.

Teh embu funguka hayo mapungufu nasi tupate kuyajua
 
Aliye juu mngoje chini. Huyu RC anaweza kuwafurahisha wakubwa zake lakini miaka miwili na nusu kutoka sasa mambo yanaweza kuwa tofauti sana. Busara ndogo tu ingemsaidia kuchunga ulimi wake.

Ukishakuwa mchafu wa fikra na matendo busara kama hiyo inatoweka kabisa
 
Jaji gani alie makini anaweza kuhukumu hukumu ya kipumbavu namna hiyo? uliza hata mwanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza atakuambia achilia mtoto wa darasa la tano asingeweza kufanya aliyoyafanya jaji njaa.....................

Chadema hawaishi kulalamika kesi zote zinazowapa ushindi wao wanasifia Majaji na kuwaita wasomi, lakini kwenye kesi wanazoshindwa wanawaita majaji wapumbavu...siku wakichukuwa nchi sijui itakuaje kwenye suala la uhuru wa Mahakama.
 
Ritz,
Mahakama ilimtia hatiani Lema kwa kifungu na.108
Rwakibarila akamhukumu Lema kwa kifungu na.114.Je, huu si upumbavu wa Rwakibarila?

108.-(1) The election of a candidate as a member shall not bequestioned save on an election petition.
(3) The election of a candidate as a member shall be declared void on
any of the following grounds which are proved to the satisfaction of the
court, namely-

(b) that, during the election campaign, statements were made by the
candidate, or on his behalf and with his knowledge and consent
or approval with intent to exploit tribal, racial or religious issues
or differences pertinent to the election or relating to any of the
candidates or, where the candidates are not of the same sex, with
intent to exploit such difference:
Provided that no petition may be presented on the grounds set out
in this paragraph without the consent in writing of not less than
one of the supervisory delegates appointed for the relevant election;

114.-(1) At the conclusion of the trial petition, the court shall also
report in writing to the Director of Elections-
(a) whether any corrupt of illegal practice has not been proved to have
been committed by or with the knowledge and consent or approval
of any candidate at the election. and the nature of such practice,
if any and
(b) the names and descriptions of all persons, if any, who have been
proved at the trial to have been guilty of any such practice.
 
Ritz,
Mahakama ilimtia hatiani Lema kwa kifungu na.108
Rwakibarila akamhukumu Lema kwa kifungu na.114.Je, huu si upumbavu wa Rwakibarila?

Mungi.
Sheria ni taaluma lazima tujenge utamaduni wa kuheshimu kazi za watu, kama wewe ni mfanyabiashara wa korosho utaheshimika na kazi yako, kama wewe unatoa mahindi Mbeya utaheshimika kwa kazi yako, kila mtu aheshimu kazi ya mwenzake.
 
Najiuliza kwa kauli hii ya RC kama mahakama ya Rufaa ikitengua hukumu ya awali huyu RC ataweka wapi sura yake? Au ndio wanataka kutuambia kuwa wameshapanga kila kitu? Hii ni aibu.
 
Mungi.
Sheria ni taaluma lazima tujenge utamaduni wa kuheshimu kazi za watu, kama wewe ni mfanyabiashara wa korosho utaheshika na kazi yako, kama wewe unatoa mahindi Mbeya utaheshimika na kazi yako, kila mtu aheshimu kazi ya mwenzake.

Inawezekana kabisa kwa Rwakibarila Sheria siyo taaluma yake.
Amepachikwa pale kwa maslahi ya ccm.
Nilichokiona kwa Rwakibarila ni sawa na Fundi cherehani kupewa kazi ya kufundisha timu ya mpira wa miguu.
 
Mahakama imefanya kazi yake kwa mujibu wa sheria za nchi Lema, kakutwa na hatia tujenge utamaduni wa kuheshimu sheria...RC katoa pongezi kwa Jaji kwa kusimamia sheria za nchi hakuna ubaya wowote...mbona Mbowe, alitoa pongezi kwa Jaji kule Singida kwenye kesi ya Tundu Lissu.

bure aghali
 
Back
Top Bottom