RC Adam Malima: Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba

Kwakuwa hakuna takwimu rasmi kwamba Nani ana mashabiki wengi Tanzania basi tuangalia takwimu za mitandao ya kijamii Nani anaongoza kuwa na followers wengi maana technology hasa Mambo ya digital hayadanganyi ,maana fb followers wa Simba ni Mara mbili ya Yanga ,Instagram followers wa Simba ni Mara 3 ya Yanga ,na Twitter followers wa Simba ni zaidi ya Mara 4 wa Yanga.
Followers mbona wananunua Tu

Ukiingia kwenye mitandao kuna kipindi wananiletea mo simba Kwa lazima nakataa bado wananiletea eti suggested,

Niko Twitter ghafla nakuta bavbara ni rafiki yangu sijawahi wala kumuomba wala kuniomba kila nikifuta asiwe rafiki naambiwa you can not wanahonga Sana mitandaoni ili auze Tu bidhaa zake mo

Huu ni upuuzi wa mitandao
 
Tumia akili
Makonda timu zote za Dar..
Sasa RC wa Tanga anatetea timu ya Dar ni akili?
Ni ngumu kuamini kuwa andiko hili ni lako....duh...kwa hiyo wewe umetumia akili katika andiko hili...dah...
 
Hilo gaidi liliibiwa bastola 2 na bunduki 3 na changudoa sijui lilikuwa linaenda kufanya tukio wapi.

Shikamoo Morogoro.
 
We ndiyo mbumbumbu PhD unaongea na kutoa majibu sahihi kabisa. Kwamba wanaoenda uwanjani wengine Wala hawana ushabiki na simba Wala yanga Bali burudani tu.

Toeni na ushahidi wa hizi takwimu basi.

Insta, fb, twita Simba Ina mashabiki milioni 2 ,yanga laki 9.

Utopolo kila jambo ni kujifariji.
Bodi ya ligi imeshatoa takwimu na bado unazibishia Tanzania Kuna mtaji mkubwa wa wajinga
 
simba vs coastal union coming up, kuna milioni 15 ya kuendela kuvunja miguu wachezaji wa simba, watu wamechoka kukaa miaka 4 bila kombe ni umafia tu tukilalamika kwa nini hela ziambatane na masharti ya kucheza kung fu tuanaambiwa mbona bashite aliwapa hela kmc kwa kuwafunga utopwinyo swali ni kwamba uto walikuwa wanarukiwa kung fu?
Wapelekee takukuru kama unao huu ushaidi bila shaka yeyote
 
Back
Top Bottom