Uzee unakusumbua nduguyangu, haya mambo tuachie vijanaKiukweli mimi siwezi kuacha kusikiliza Slow Jams za 90's&2000's nikaja kusikiliza hizo kelele za huyo bwn mdogo.
Inshort bongo fleva sisikilizagi.
Ni mtizamo wangu.
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Uzee unaanzia miaka mingapi mkuu?
Rayvanny yupo vizuri ila hiyo naogopa bonge la Pini kijana ana uandishi mzuri Sana na sauti nzuri.Kwa sasa ni moja ya wasanii wanaonikosha sana kwa mapini ya kubembeleza, kama humjui vizuri sikiliza hizi ngoma usipozielewa hata nusu yake nakurudishia hela ya bando;
1. Slow
2. Sikupendi(mhh mhhh)
3. Naogopa
4. Siri
5. Mbeleko
6. I love u
7. Teamo
8. Mama la Mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Amna sio uzee kipendacho roho sio lazima mtu kupenda music ambao unapenda ww ndio maana kuna wapenda Singeli, Bolingo, Hip Hop, Rnb, Zuku na Raga, Dance hall, Pop nk.. Music ni cake kubwa sana kila mtu anakula anapotaka mm napenda Hip Hop, Rnb na Pop ndio zimejaa kwenye simu yangu huwa napenda kusikia zile f*** ndio raha yangu.

kwakweli mimi binafsi siijui hata mojaMziweke hizo nyimbo hapa wengine hatuzijui
Naijua tu "Teamo" sababu kuna alinitumia
Anamkopi Ali KibaKwa sasa ni moja ya wasanii wanaonikosha sana kwa mapini ya kubembeleza, kama humjui vizuri sikiliza hizi ngoma usipozielewa hata nusu yake nakurudishia hela ya bando;
1. Slow
2. Sikupendi(mhh mhhh)
3. Naogopa
4. Siri
5. Mbeleko
6. I love u
7. Teamo
8. Mama la Mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa tupo pamoja hii ngoma ni 🔥