Raymond ni hatari ngoma ya Sugu ni balaa

Raymond ni hatari ngoma ya Sugu ni balaa

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,393
Leo msanii kutoka mbeya chini ya WCB Raymond ameachia ngoma inaitwa sugu
Amerap vizuri sana , huyu dogo ni hazina kwenye bongo fleva
Mod utasaidia kuipandisha link imenigomea
1478431706366.jpg

 
Anaiwakilisha Mbeya vizuri.
 
....yeeah, iko poa.Nadhani wasanii waliopita kitambo,..wengi watamuomba azirudie zile nyimbo zolizotamba kitambo.....DOGO anazitendea haki....Nafikiri wengi walivitiwa na kile alicho fanya kwenye ngoma ya Saida Kaloli (SALOME)

Nasasa kupitia BEAT ya LIL B, katukumbusha kidogo nyimbo ya MKONGWE SUGU Katika KIITIKIO.....

Hiyo ndio maana ya Msanii,....wakati mwingine unajiachia...
 
Raymond ni mtunzi ambaye hajawahi kutokea Tz.

kujeni taratibu plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Ila siyo nyimbo officially...ni kama kakuzugia tu,sio ngoma ya biashara hii....haijatoka kama officially ni kaburudani tu Ray ametupa

Ngoma yake official inakuja ambayo amemshirikisha Patoranking
 
Huyu dogo awe king natumaini kofia itamtosha.
Who the cap fit let them wear it..
 
Afande sele ndio nakumbuka alitunukiwa taji la mfalme(king) na kwasasa anajihusisha na siasa ni vyema apatikane mwingine ambaye taji litamtosha alivae
Kwa hiyo Kiba siyo king? Au halimtoshi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom