Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,462
teknikale imetolewa kuizima ile mashudu ya dada dimpoz.....safi sana WCB...Leo msanii kutoka mbeya chini ya WCB Raymond ameachia ngoma inaitwa sugu
Amerap vizuri sana , huyu dogo ni hazina kwenye bongo fleva
Mod utasaidia kuipandisha link imenigomea
View attachment 430018