Ray Kigosi na tangazo la maji ya kunywa la (Afya) linalorushwa na ITV

Pi Network

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
290
319
Nakumbuka siku za karibuni huyu jamaa alipokuja na nadhalia yake ya maji kuwa ndiyo siri ya ngozi yake kuwa nyororo na inayovutia, wengi walimbeza na kumkejeli, na wengine wakaenda mbali zaidi nakusema anatumia vitu fulani vyenye kemikali vinavyomfanya azidi kuwa mweupe.

Lakini licha ya hayo yote kupitia nadhalia hiyo hiyo, hatimae naona jamaa anapiga mkwanja kiulaini.
 
Back
Top Bottom