donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
-
- #41
Hahahahaha, hii kali mkuuunakaweka tu juu ya meza, we unaendelea kugonga chai yako ya mkono mmoja huku ukimtizama, ukitoka hapo umeshiba kama vile umekunywa chai na kiporo
Uvumi upi uo mkuuWalikuwaga wanasambaza uvumi kuwa Mtangazaji Fulani kapiga sijui kuwa sio...kumbe ana mke na watoto copy kabisa
HahahBaba mjinga wa kiTz kuwahi kutokea
Heee? Mkuu beautiful sio kwa watoto wa kike tu? Kuna -me beautiful?huyo mtoto sio handsome boy.....ni beautiful boy!!!!
huyo mtoto sio handsome boy.....ni beautiful boy!!!!
Hahahaha daah hayo makwesa mkuuwe wacha wafanye ujinga ujinga mara paap amekuwa anakwambia baba sasa nataka kuchagua jinsia!
Kiukweli hapo alikosea sanaAnamvalisha vipi mtoto wa kiume hereni???Kwa kweli tunaandaa mashoga yajayo
yah ni beautiful boy kwa sababu ni mtoto wa kiume lakini ana uzuri wa kike!!Heee? Mkuu beautiful sio kwa watoto wa kike tu? Kuna -me beautiful?
According to you.
ndio mkuu sasa anakuwa anajikuata anavaa herin kama mama yake na mapodozi mebgine na ukitilua maanani ss wanaume tunaongoza kwa kula bata na watoto ila lonapokyja suala la quality time wakina mama wametupita wao full time wako nao wakiwa na afya wagonjwa kwa hiyo kuna ile natural bond ya mtoto na mama yake .Hahahaha daah hayo makwesa mkuu
eleni=hereniwataweka elen mpaka sehem zisizotakiwa eleni...,mm napita tuu
Malezi gani haya jamani mtoto mdogo tena wa kiume tayari keshatoga sikoio na kuvikwa hereni ? Ee mungu baba okoa kizazi hiki.Tunakoelekea sio kabisa.Sema kama haijakaa poa mtoto wa kiume kumvalisha hereni..View attachment 681889
Duuuh hii kali mkuuyah ni beautiful boy kwa sababu ni mtoto wa kiume lakini ana uzuri wa kike!!
Kweli kabisa dadanguMtoto huyo malaika, unamvesha hereni halafu ni mwanaume;
jamani, mwogopeni hata Mungu,