ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,964
- 3,895
Msanii wa kike wa bongo fleva Ray C amesema kwamba TID ndo alimsababisha kujiingiza katika vitendo vya kula UNGA(cocain), akiongea zaidi katika kituo kimoja cha radio, Ray C aliongelea uhusiano wake na lod eyes kuwa ulichangiwa zaidi na madawa` lod na mimi tulikutana wote tukiwa wavuta unga' . Msaníi huyo sasa amejiunga ktk taasisi moja ya kuzuia madawa, na ameacha kuvuta unga. Na sasa anawahamasisha watu kujiondoa ktk madawa ya kulevya
Sidhani kama hii habari ni ya kweli...habari za uhakika nilizo nazo toka kwa mtu anayemsaidia kuacha madawa ni kuwa hajaacha, na kama wiki mbili zilizopita alitoroka rehab Hydom Arusha...na hana tena mawasiiliano na watu wanaomtakia mema..yaani waliokuwa wakijitahidi kumsaidia kuacha madawa ya kulevya unless anapokuwa hana kitu ndio anapiga simu za mizinga!
She is battling it...she needs help...a serious help!
Halafu nilisha msahaugu huyu mwamuziki...pole zake...
Sidhani kama hii habari ni ya kweli...habari za uhakika nilizo nazo toka kwa mtu anayemsaidia kuacha madawa ni kuwa hajaacha, na kama wiki mbili zilizopita alitoroka rehab Hydom Arusha...na hana tena mawasiiliano na watu wanaomtakia mema..yaani waliokuwa wakijitahidi kumsaidia kuacha madawa ya kulevya unless anapokuwa hana kitu ndio anapiga simu za mizinga!
She is battling it...she needs help...a serious help!
Radio mmoja Radio gani haina jina.Msanii wa kike wa bongo fleva Ray C amesema kwamba TID ndo alimsababisha kujiingiza katika vitendo vya kula UNGA(cocain), akiongea zaidi katika kituo kimoja cha radio, Ray C aliongelea uhusiano wake na lod eyes kuwa ulichangiwa zaidi na madawa` lod na mimi tulikutana wote tukiwa wavuta unga' . Msaníi huyo sasa amejiunga ktk taasisi moja ya kuzuia madawa, na ameacha kuvuta unga. Na sasa anawahamasisha watu kujiondoa ktk madawa ya kulevya
matatizo ya kijitakia akafie mbele