mjanjamjanja
Member
- Feb 11, 2014
- 32
- 2
Tanzania ina watu wa ajabu sana ambao wana uwezo wa kuagiza magari ila wanaogopa kuagiza spare parts! Mimi kwa ushauri wangu nunua Nissan ndio mzuka sababu ni ngumu kupata spare parts fake kama zilivyo za Toyota nyingi ni fake. Usiogope ulimwengu wa sasa una uwezo wa kupata spare yoyote ile pesa yako tu. Tatizo watanzania wengi tunanunua magari kwa kufuata mkumbo!
Habari wadau,
Naombeni msaada wenu kati ya rav4 na xtrail..ipi iko nzuri brbrb ie fuel consumption,speed,durability ,spares na ubora,kama 4wd au 2wd?
Umenena. Ppl have the so called "fear of the unknown" kama mtu anaweza kuagiza gari iweje ashindwe kununua spare?
Hivi kuna gari isiyo na spare bongo?
Hata kama unanunua mpya usijaribu kabisa Nisan utakoma kuzaliwa! ukija nalo huku kijijini ukawa na kamzigo kidogo tu kila kamlima lazima ushushe kwanza mzigo ndo lipande vinginevyo hupandi! kwenye mlima ni ya ovyo sana! Gari Toyota utaipenda mwenyewe!
Habari wadau,
Naombeni msaada wenu kati ya rav4 na xtrail..ipi iko nzuri brbrb ie fuel consumption,speed,durability ,spares na ubora,kama 4wd au 2wd?
Xtrail gani hiyo mkuu....xtrail inameza mafuta ile mbaya!
Hapo kwenye red tupo pamoja, ila kwenye ulaji wa mafuta sio kweli... rav4 inakula mafuta zaidi kuliko xtrail trust me maana ndo ninayotumia hadi sasa... mimi nmetumia sana rav 4 sana na just before cjanunua xtrail nlikua na rav 4 na tofauti ya ulaji ni mkubwa sana aisee...xtrail inakula kidogo mkuu mi mwenyewe sikutegemea.. ila xtrail usipate yenye turbo1.fuel consuption RAV4 ni bora kuliko X-TRAIL
2.speed ZIPO SAWA, STABILITY/CONFORTABILITY/SPACE XTRAIL is far far better than RAV4
durability ni utunzaji wako
3.spare RAV4 cheap kwa sababu nyingi fake[utabadilisha mara nyingi] X-TRAIL spare ghali lakini imara sana[hubadilishi mara nyingi]
4. 4wd zote sawa....hamna sehemu rav4 iende halafu x-trail ishindwe
mimi binafsi nitachukua X-TRAIL.
1.fuel consuption RAV4 ni bora kuliko X-TRAIL

Hapo kwenye red tupo pamoja, ila kwenye ulaji wa mafuta sio kweli... rav4 inakula mafuta zaidi kuliko xtrail trust me maana ndo ninayotumia hadi sasa... mimi nmetumia sana rav 4 sana na just before cjanunua xtrail nlikua na rav 4 na tofauti ya ulaji ni mkubwa sana aisee...xtrail inakula kidogo mkuu mi mwenyewe sikutegemea.. ila xtrail usipate yenye turbo
chukua subaru wewe mfalme wa mbio
Labda hapo ndo pa msingi...mi rav4 zote nte nlizokua nazo ( moja auto nyingine manual moja ya 1996 na 1995) ni za cc 1990 na hii xtrail pia ni cc 1990. Ila kiukweli xtrail imenipa unafuu mkubwa sana wa mafuta kuliko rav4Rav 4 ipi kaka kama ni 1zz ulaji ni mzuri mnooo X trail sidhani kama inafika hapo!!
Hebu tuwe engine specific!!!!!