Ratiba ya ziara ya Tundu Lissu barani Ulaya na Marekani hii hapa

Ninachojua kwa uhakika ni kwamba Magufuli atashinda 2020 kwa kishindo na ataendelea kuongoza mpaka 2025 panapo majaaliwa. Hilo nina uhakika nalo kusema ukweli. Najua hata wewe unalijua.
Jiwe hata shinda 2020, bali atajishindisha. Elewa kuwa 2020 hakutakuwa na uchaguzi kwa maana ya uchaguzi, bali jiwe ndio atakuwa anaamua kila kitu mpaka ubunge na udiwani.

Hapa pengine jiwe afe, nje ya hapo hatoki pale, maana utawala wake wa kibabe atakuwa kashatengeneza maadui wa kutosha, ukianzia watu anawaweka jela miaka kadhaa bila kesi zao kusikilizwa. Orodha ni ndefu. Ubabe wa kodi dhidi ya jumuiya ya wafanyabiashara
 
Hapa mkuu umebadilisha wimbo tu. Hakuna mwaka wa uchaguzi ambao matokeo hayakulalamikiwa. Malalamiko ni kama culture ya elections zote duniani, sio Tanzania pekee..

Kuhusu ubabe na watu aliowaweka ndani.. He knows better but tusiwe wanafiki hapa. Si ni hao hao ndio tulikuwa tunalalamika miaka ya nyuma kuwa hawagusiki (Seth, Rugemalira, Manji to mention a few)?

Ubabe wa kodi dhidi ya Jumuiya za Kimataifa nayo ni yale yale. Sio siye tuliokuwa tunalia rasilimali zinanyonywa na wazungu? Siku hizi hatua zinachukuliwa, mnageuza kibao. Nyie watu!

Kimsingi, sisi tusio na ushabiki wa kipuuzi tunaelewa anachokifanya JPM. Na uchaguzi ujao tuna uhakika atashinda na akimaliza muda wake atakaa kando.

Binafsi ninachomuombea tu ni kujitahidi yale madhaifu ya kibinadamu na kiuongozi ayafanyie kazi. Vinginevyo, siwezi kumlaumu kwa hatua anazochukua za kuendesha nchi kwa kujiamini.

Ah, huna hoja unanichosha tu!
 
Unafiki wa ki UVCCM, unasema hushabikii upande wowote halafu hapo hapo unapigia kampeni jiwe ashinde kwa kishindo 2020.

Hakuna uchaguzi in the sense 2020, afadhali Mkwere alikuwa anaiba kwa akili, hizo akili jiwe hana, ni nguvu tu bila akili yeye. Nimeshiriki kesi nyingi za uchaguzi, najua yanayofanyika huko!
 
Huyu mpumbavu hivi bado ana ndoto za kugombea urais? Labda huko kwa mabwana zake ila sio Tanzania
 
Unafiki wa ki UVCCM, unasema hushabikii upande wowote halafu hapo hapo unapigia kampeni jiwe ashinde kwa kishindo 2020.

Hakuna uchaguzi in the sense 2020, afadhali Mkwere alikuwa anaiba kwa akili, hizo akili jiwe hana, ni nguvu tu bila akili yeye. Nimeshiriki kesi nyingi za uchaguzi, najua yanayofanyika huko!
Huna hata uelewa wa siasa unayoishabikia! Kwako wewe kila 'anayepiga kampeni' ni lazima awe mwanachama wa chama fulani? Poor you.

Uko na chuki mbaya lakini wewe ulie, ugaregare, upende ama usipende, JPM is your President for the next 7 years panapo majaaliwa.

Kaza mkanda tu!
 
Hata akitawala maisha yake yote, jiwe ni pepo la kuombewa mabaya tu. Mara nanunua korosho zote, mara oh naomba msaada wa inteperinua, mara oh wastaaafu ni robo nyingine baadaye mdogo mdogo, mara oh wapeni chote nk, fakeni!
 
Unabwabwaja tu! Huna hoja mkuu..
 
Tundu Lissu ambaye ripoti za kuaminika zinaonyesha kwamba ndiye Mwanasheria bora kabisa kuwahi kuwepo kwenye eneo la Maziwa Makuu tangu kuumbwa kwa mbingu na ardhi , ataanza ziara ndefu ya kimkakati kwenye nchi za Ulaya na Marekani ili kuieleza dunia kilichotokea kwenye shambulio lake , wahusika wote na waliowatuma kutenda uovu ule na hali ya kisiasa ilivyo nchini Tanzania kuanzia muda huo hadi sasa

Hii ndio ratiba ya ziara yenyewe :
.......... .. .......................................
Kuanzia January 14 amealikwa na Shirika la utangazaji la BBC mjini Brussels ambapo pamoja na kuongea na BBC pia imeelezwa kwamba amepata mwaliko mwingine wa kuonana na viongozi wa juu kabisa wa jumuiya ya Ulaya ( EU )

Baada ya kumaliza hili taarifa zinaonyesha kwamba amepewa mwaliko mwingine mapema February wa kuonana na maofisa wa ngazi ya juu kabisa wa serikali ya Marekani huko Washington , ambako kutakuwa na mazungumzo yatayochukua angalau wiki moja

Taarifa zaidi kuhusu ziara hii muhimu ya Mh Tundu Lissu ambaye pia ni Mwanasheria wa Chadema itaendelea kuboreshwa kwa kadri tunavyoletewa habari za ziara yake kwenye nchi mbalimbali.

Mungu mbariki mtumishi wako Tundu Lissu
Habari hii bwana Chahali aliita uzushi kumbe yeye ndiye alikuwa mzushi
 
Back
Top Bottom