Ratiba ya uzinduzi wa hostel Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kesho

Ngoma kesbo inapigwa live, hatusubili wahariri waliowekwa kapuni na mafisadi.
Na huyo Neville Meena akazime na microphone leo pale Mlimani hostel atakayotumia Paul Makonda kuongea akiwa anampa Mkuu wa Nchi taarifa za Mkoa wa Dar!!
 
Hizi mastory sasa zinatuboa. Kila siku Bashiteee, Bshite...! Jamani kama hamna la kuongea sio Lazima mpost. Au ongeleeni basi hata jando zenu zilikuwa aje au zinakuwaga aje.
Usitake kuchagulia watu mambo ya ku comment, kama unakuwa bored pale watu wanapokuwa wanakemea maovu, basi ndiye una bore!
 
Moja ya maneno kwenye hotuba ya Bashite leo "... mabweni haya hayajajengwa kwa ajili ya vilaza na wadanganyifu wa elimu kama vile wezi wa vyeti.."
 
Niseme kwamba

Nampongeza mh Rais kwa kazi nzuri anayoifanya

Kwa nia nzuri aliyonayo kwa nchi yetu

Kwa mawazo mazuri ya kuendelea kuisimamia nchi yetu

Pale panapohitaji pongezi tufanye hivyo

Nashauri kama ataweza arekebishe baadhi ya mambo kama ifuatavyo

1.ashughulikie tatizo la ajira
2.utawala bora
3.utumishi wa umma
Kama mh akirekebisha mambo hayo atakuwa moja ya marais bora Afrika
 
Habari zake zinaandikwa haziandikwi hiyo haisimamishi yeye kama Mkuu wa Mkoa kufanya majukumu yake ya kazi.

Unafikiri Neville Meena kutangaza mgomo wa kutangaza habari za Paul Makonda unamkoa Mkuu wa Mkoa au unawakomoa wakazi wa Dar ambao ni Wateja wa hayo magazeti yenu


Serikali na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa itafanya kazi zake kawaida tu hizo habari ukitaka andika usipotaka acha.
Bahati nzuri wateja wenyewe ndiyo hawataki kuziona habari za bashite.
 
Kumbe ndio maana jk alikuwa anasafiri sana ilikuwapa mawaziri kiki waonekane laiti kikwete angekuwa kama jpm ,jpm asingepata umaarufu wowote na angepotea kisiasa jamaa kila tukio anatinga yeye anakaba mpaka penati,sasa mawaziri wataonekana wapi,kila uzinduzi yupo,mawaziri wote wapo mufukoni
Mimi nilikuwa nadhani kazi ya uzinduzi ni kazi maalum ya makamu wa rais. Kumbe siku hizi mkuu mwenyewe anashinda na mkasi wa kukatia utepe.
 
Wale wa Changanyikeni na Jesus Village msalimike sasa kukabwa na wale vibaka pale uwanjani.
 
Sijaelewa bado kwanini Waziri wa Ulinzi yupo kwenye ratiba ya hafla hiyo. Kahusika kwa namna gani vipi ktk ujenzi?
walinzi wa pale walikua JKT na JWTZ kwa hyo nao wamehusika katika ujenzi huu hakuna hata msumari uiokua unapiata pale getini sawa "mrembo"/"kaka"
 
Bahati nzuri wateja wenyewe ndiyo hawataki kuziona habari za bashite.
Wateja wanalazimishwa na wahariri kutoziona habari zake maana kuhusu habari wahariri ndiyo wameshika mpini Wateja hawana la kufanya zaidi kuzitafuta kwa njia zingine
 
Mimi nilikuwa nadhani kazi ya uzinduzi ni kazi maalum ya makamu wa rais. Kumbe siku hizi mkuu mwenyewe anashinda na mkasi wa kukatia utepe.
Uzinduzi au kuweka jiwe la msingi si kazi maalum ya Makamu wa Rais....Tuache kubeza Viongozi wakuu wa Nchi yetu!!

Kweli tuna kazi kubwa na maadili kwa vijana na hawa ndiyo Polisi au TISS wa kesho....sijui...inaku..
 
Hivi bashite amesoma udsm?
Bashite akiwa amesoma UDSM MIYE ntarudisha vyeti vyangu vyote nilivyosomea MUHAS (wakati huo ikiwa chini ya UDSM)...Na nitatembea kwa miguu toka hapa Kikatiti kuzunguka Milima Kilimanjaro na Meru. Ruti itakuwa hivi: Kikatiti-Bomang'ombe-Kwa Sadala-Maili Sitta-Kiborloni-Himo-Mwika-Mkuu-Tarakea-Londrosi-Oldonyo Sambu-Olkokola-Ngara Mtoni-Sakina-Kimandolu-Usa River na kurudi Kikatiti.....
 
Huyu waziri wa ujenzi huyu. Tangu aingie bado anafanya kazi za waziri wa ujenzi mpk waziri mwenyewe nimesahau jina. Hivi lini atakumbuka kuwa yeye ni *******wa nchi? Afanye mambo ya kuleta dawa hospital.kushusha bei ya bidhaa mtaani. Kuondoa makodi ya hovyo hovyo???
 
Back
Top Bottom