Ratiba ya uzinduzi wa hostel Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kesho

Jereman

Senior Member
Jun 29, 2016
140
124
Ratiba iko kama ifuatavyo;

55453bc6b76987e29b10e2c7bf0d66cf.jpg
 
Tupige na vigelegele jamani

Hakunaga uongozi uliotokea nchini kama wa awamu ya 5. Hii ingekuwa awamu zilizopita, ingekuwa ndoto jamani kutegemea jengo/majengo kujengwa kihivi na muda unaotumika.

Nawafurahia wanafunzi ambao watapata mwanya wa kusoma na kupunguza mawazo ya wapi wataishi na kulipishwa kodi za kupabga vyumba za ajabu ajabu.

Magufuli Oyeeeeeeeee


Makonda oyeeeeeeeee


Screenshot_20170413-174131.jpg


Jana hiyo

Wale waliozoea ya mteremko mtanyooka tu

Hapa kazi tu
 
Ratiba iko kama ifuatavyo
55453bc6b76987e29b10e2c7bf0d66cf.jpg
Kumbe ndio maana jk alikuwa anasafiri sana ilikuwapa mawaziri kiki waonekane laiti kikwete angekuwa kama jpm ,jpm asingepata umaarufu wowote na angepotea kisiasa jamaa kila tukio anatinga yeye anakaba mpaka penati,sasa mawaziri wataonekana wapi,kila uzinduzi yupo,mawaziri wote wapo mufukoni
 
h
Ratiba iko kama ifuatavyo
55453bc6b76987e29b10e2c7bf0d66cf.jpg
hongera MHE. Magufuli kwa kufanikisha jambo hili muhimu kwa wanafunzi wa udsm, wito kwa wanafunzi wa udsm watakaopangiwa humo kweny hizo hostel wasiwe waaribifu watunze sana miundombinu ya hostel hizo ili nazo ziwatunze wao na wengine watakaokuja kusoma hapo udsm.
 
Back
Top Bottom