Kutoka 20:7Magufuli ni chaguo la Mungu
mwambie atoe na mikopo sasa sio kujenga majengo huku watu wanarudi nyumbani kwa kukosa mikopo,wengine wanashindia majiTupige na vigelegele jamani
Hakunaga uongozi uliotokea nchini kama wa awamu ya 5. Hii ingekuwa awamu zilizopita, ingekuwa ndoto jamani kutegemea jengo/majengo kujengwa kihivi na muda unaotumika.
Nawafurahia wanafunzi ambao watapata mwanya wa kusoma na kupunguza mawazo ya wapi wataishi na kulipishwa kodi za kupabga vyumba za ajabu ajabu
Sio kubeza, rudi nyuma kafuatilie Dr. Bilal na Dr. Shein walikuwa wakionekana mbele za watu ilikuwa hasa kwa shughuli gani kama sio uzinduzi. Halafu kama kufanya uzinduzi ni kitu cha kubeza kwanini wanafanya? Wewe ndio unabeza hiyo shughuli halafu unageuzia wengine.Uzinduzi au kuweka jiwe la msingi si kazi maalum ya Makamu wa Rais....Tuache kubeza Viongozi wakuu wa Nchi yetu!!
Kweli tuna kazi kubwa na maadili kwa vijana na hawa ndiyo Polisi au TISS wa kesho....sijui...inaku..
Pombe hostels???John Pombe Magufuli hostel!
Leo amekuja na wasaniiKabla sijaisoma hiyo ratiba nilijua tu kesho ni ile siku nyingine ya kusikia tambo za bwana Bashite baada ya juzi kuongea kwa dharaaau na kukosa coverage.
Haya sie yetu macho na masikio, ila hakuna marefu yasiyo na ncha.
Atumbuliwe??Ndelichako kweli kabisa yaani kweli mfoji vyeti unakwenda kukaa naye kwa ule mkwara wako wa vyeti feki?
Sasa hebu gusia uhakiki wa vyetu mbele ya mkulu na bashite naamini utaungwa mkono 100% na wanazuoni watakaokwepo hapo!
Amepata PhD hapa nafikiriHivi bashite amesoma udsm?
Tutake radhi aisee wana UDSM, hatuna MA zero brain paleHivi bashite amesoma udsm?
Magufuli ni chaguo la Mungu
Hizi hosteli ni imara kweli,au ndo vodafasta in three years to come ni hazitamaniki tena
Kwani baba J si mwana udsm mwenzenu au ? au unafikiri ziro brain mpaka iwepo kwenye chetiTutake radhi aisee wana UDSM, hatuna MA zero brain pale
Utamfahamu baada ya kesi aliyofungua Meya Boniface kuuanza kusikilizwa. Sababu ndiyo itamuumbua na kutaja jina lake halisi.Simfahamu unaemuongelea.
Hivi yule mjeda wa Jesus village bado yupo? Umenikumbusha sana pande hizo mkuu, long life UDSM.Wale wa Changanyikeni na Jesus Village msalimike sasa kukabwa na wale vibaka pale uwanjani.
Utamfahamu baada ya kesi aliyofungua Meya Boniface kuuanza kusikilizwa. Sababu ndiyo itamuumbua na kutaja jina lake halisi.
Sijui kama bado yupo mkuu. Mi pia nishaondoka pande hizo.Hivi yule mjeda wa Jesus village bado yupo? Umenikumbusha sana pande hizo mkuu, long life UDSM.