Ratiba ya mapokezi ya Lema kesho Arusha!

Anakagua barabara lini kaijenga.

Mkuu hivi wewe ni Lini Utatumikiwa? Make unalala saa saba usiku unaamuka saa 11 asubuhi kuanza kutumikia wanaume kwenye mtandao, jiulize wewe umezaliwa kutumikia watu? ni lini na wewe utakuwa unakaa Kilimanjaro hoteli unapata Wine kutoka Brazil then watu watu wanakutumikia?


 

Ib adillike iwe nini? Shetani ibariki au?
Wacha udini ndugu yangu.
 

kuna tofauti kubwa sana kati ya kuzindua na kukagua ujenzi dogo
 
Acha upuuzi wewe ccm haina hela za kujengea miradi wala kzi ya Mbunge sio kujenge barabara
Miradi yote inajengwa na fedha za serikali zinazopatikana kwa vyanzo mbalimbali na kazi ya mbunge ni kusimamia na kuhamasiha shughuli za maendeleo jimboni kwake na nchini kwake kwa ujumla
 
Hivi unajua nini misingi ya utawala wa serikali zilizoko duniani?

Hapana sijui. Ila kwa uelewa mdogo tu, serikali za nchi tofauti zina misingi tofauti.

Kama kila mtu ana Mungu wake (ambao ndio ukweli)

Si kweli. Kuna ambao hawaamini mungu.

..na huyo Mungu hajaidhinishwa na chama kuna ubaya gani wanachama kumsifia Mungu wao?

Hakuna ubaya kwa manachama kumsifia na kumuabudu mungu wake au kutoabudu at his/her own personal time. Kutumia msemo wa “tulianza na mungu, tunamaliza na mungu” ni kukinzana na chama ambacho hakijaidhinisha mungu.

Kwa wasio muamini Mungu madhali hawabaguliwi kwa imani yao kuna shida gani

Shida ipo kwa sababu mungu huyo hajaidhinishwa na chama lakini washabiki nyie mnaidhinisha na kutumia msemo ambao unabagua wasioamini mungu.

Pia "tulianza na mungu, tunamaliza" inaonyesha wingi wa watu, kitu ambacho si kweli. Mzee Baregu na wanachama wengi tu mnawatenga hapa.


Kama unajua hilo kwa nini muwape watu points za kirahisi na vitu vya kuongea. Shehe akiwaambia waumini wake "waone wale na msemo wao, hakuna mungu mwingine wanaomzungumzia isipokuwa wa kikristo".. Huoni unawasaidia waeneza propaganda hizo? Kwa sababu mungu hajaidhinishwa na chama kwa nini usitumie msemo mwingine wenye sera za chama uepuke maneno maneno ya propaganda?

Hata wahenga walisema Wanadamu (FISI WENU) ngwamba hawaachi kwamba. Watasema tu labda uwanyang'anye ndimi zao. Lakini hiyo isiwazuie wanachama wao kumsifu Mungu wao kila mmoja kwa imani au dini yake.

Kila mmoja afanye kwa muda na nafasi yake lakini si kutumia mgongo wa chama ambacho hakijaidhinisha mungu.

Hali mbaya iliyoko FISI WENU na serikali yake haitokani na kumkumbatia Mungu bali ni kinyume chake. Hivyo kusema kuwa tusichanganye dini na siasa ni sawa lakini Mungu na siasa hawagombani na Yeye ndiye muanzilishi wa siasa (kwa taarifa yako).

Kama mungu na siasa hawagombani kwa nini siasa na dini hazichanganywi? Mungu kuwa muanzilishi wa siasa that is another debate for some other time.

Binadamu asipokuwa na hofu ya Mungu maovu yake yanakithiri, huharibu siasa na vitendo vyake vinamzidi mnyama.

Kuna research yoyote juu ya hili kwa sababu kutumia reasoning kidogo tu, "maovu" hutendwa na watu tofauti wenye imani na wasio na imani.

Tanzania imekuwa na hali mbaya kwa sababu watawala (si viongozi) wake hawana hofu ya Mungu japo wana dini zao.

Smh..

Huyu Mungu anayesifiwa na watu humu ni yule ambaye hana dini, anayeaminika kuwa muumba wa vinavyoonekana na visivyoonekana.

Chama hakijaidhinisha huyu mungu mwenye dini au asiye na dini hivyo msifu huyo mungu at your own private time si kwa kutumia mgongo wa chama.

Anayenyeshea mvua wabaya na wema.

Miaka 51 ya uhuru hiyo mvua imelenga watu gani wanaoteseka? Usichanganye haya mambo.


Kama ni hivyo kwa nini Scandinavians ambao wengi hawaamini mungu wana low crime rates, low levels of corruptions, good standards of living compared na waafrika ambao wengi wanaamini mungu?

Kwa kweli ni vema tena inapendeza "KUANZA NA MUNGU NA KUMALIZA NA MUNGU".

Chama hakijaidhinisha mungu kwa sababu za kutochanganya siasa na dini/mungu, hivyo msemo huo usiutumie kwa mgongo wa chama. Kama mmeshindwa kuelewa na hapa basi tena.
 
Kwanza Arusha wametuona sana sisi ni maandazi ,kwa kudivert fedha za maendeleo ! Na baada ya wananchi kucharuka ndio wanakurupuka kujenga miundombinu! LEMA ni mbunge ni haki yake kufanya hivyo maana mkopo wa WB Tunalipishwa wote! Wacha tena mkome kuchangia maendeleo kwa sera za kiitikadi za kisiasa! Au ndio mnatukumbusha ya Igunga? MSIPOICHAGUA SISIEM HATUTAJENGA DARAJA!
 
Tatizo la magamba wanasumbuliwa na akili mgando walizonazo. Yeye kama mbunge wa jimbo la Arusha anawajibu wa kukagua barabara kwani anawakilisha wanachi wa jimbo lake.
 
Jamani mwacheni mwenzenu,,,,kwa sasa hapo ndo mwisho wake wa kufikiri,,,,,,,tumpe elimu atabadilika kwa sababu anazani kikwete akiendaga kukagua barabara yeye huwa ana ujuzi nazo
 
Uwezo wa kufikiri unapokuwa mdogo si rahisi kujitambua kama ulivyofanya hapa we mleta huu uzi. Na hata ukielimisha kamwe huwezi kuelewa
 
Kitu cha kwanza ambacho huwa ninakifanya kabla ya kuchangia ni kusoma andiko na kukagua matumizi ya lugha na uandishi wake kama ni sahihi,nikishajiridhisha kuwa hakuna tatizo huwa ninatilia mkazo kuendelea kusoma,na nikijiridhisha pia kuwa ni 'ukanjanja' umetumika huwa natupa huko,sasa umaharufu ndio kiswahili cha wapi hicho??na bado utataka watu waendelee kusoma upuuzi wako hapa.Kabla hamjatumika muwe na utaratibu ulio bora wa kufikiri vizuri.Kuna ubaya gani kwa Lema kukagua barabara??CCM toka lini imetoa pesa zake kwa ajili ya ujenzi wa nchi??Kamanda Lema ana haki ya kukagua jasho lake na la wanyonge wengine,hoja za kitoto kuwa barabara imejengwa na CCM ni upuuzi.
 
mkuu nimekubali mkuu,watu wengi wanafikiri barabara zinajengwa na ccm. Huo ni ukosefu wa uelewa mpana kwa watanzania. Hakuna chama kinachoweza jenga barabara iwe ccm,cdm au cuf. Barabara zinajengwa kwa kodi za watanzania wawe wenye vyama au wasio na vyama. Jukumu la mbunge yeyote awe wa chama tawala ama upinzani ni kuisimamia serikali. LEMA ana haki zote kisheria na kikatiba kukagua si barabara tu bali miradi yote inayojengwa na serikali jimboni kwake.
 
Ni jimbo lake.Ni kiongozi wa jimbo,na kukagua ni moja ya majukumu yake ili atweze kuendana nao katika utekelezaji wa maendeleo uliobaki na unaondelea.
pia kama mwananchi ni wajibu wake kujua maendeleo ya jimboni kwake.
 
Lema ni mbuge mwenye dhamana ya kusimamia miradhi maendeleo ikiwa ni pamoja barabara, kichokushangaza ni nn?
 
Barabara za ktkt ya jiji zilizojengwa Arusha ni Mkopo toka World Bank, maana ya mkopo ni kwamba utalipwa marejesho kupitia kodi za wananchi na wananchi wana wawakilishi wao ni lazima wapate majibu ya masuala nyeti kama hayo!!! Tuweke masuala ya itikadi pembeni maana naona watu wanaanza kusema chichiem imejenga kwa hela zao?
 

kwani ccm imechangia shi ngapi acha kujitia aibu we mpumbavu, lema sio saizi yako kama unataka ushindani nenda ukafanye kwa vichaa wenzako kule milembe
 


ummemmaliza kabisa hahahaah ,mimi nilinyimwa na babu Asprin nisichangie mada huku siasa kabis a
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…