Ratiba ya mapokezi ya Lema kesho Arusha!

Ratiba ya mapokezi ya Lema kesho Arusha!

Kweli Tanzania maajabu yanazidi kuongezeka, nimesoma ratiba ya mapokezi ya mbunge wa Arusha mjini bwana LEMA eti ataenda kukagua ujenzi wa barabara zilizojengwa na chama tawala, barabara ambazo hata kumi hakuchangia,
kusimamia wala kuratibu! cha kushangaza sijui hata kama ana uelewa wowote wa mambo ya UHANDISI wa barabara hadi akakague.... mi nilifikiri muda huu bwana LEMA angeacha mbwembwe na kutafuta umaharufu binafsi na kujikita zaidi katika ILANI za chama chake na kutekeleza ahadi zake alizowahaidi waNAARUSHA ambazo karibu zote hajazitekeleza zaidi ya kujitafutia umaharufu binafsi ambao hauna tija kwa WANAARUSHA na wanaCDM WOTE TANZANIA

Inaonekana wewe sio mzima kabisa kiakili! Ccm wanaubavu gani wa kujenga barabara? Barabara zote zinajengwa na serikali kwa kodi ya wananchi na hiyo misaada ya mabepari!
Kingine, je hao madiwani wanavoenda kukagua miradi ya maendeleo wanakuaga wahandisi? Je, magufuli anapokagua barabara ana taaluma ya civil engineering? Ndugu JIPANGE!
 
Kweli Tanzania maajabu yanazidi kuongezeka, nimesoma ratiba ya mapokezi ya mbunge wa Arusha mjini bwana LEMA eti ataenda kukagua ujenzi wa barabara zilizojengwa na chama tawala, barabara ambazo hata kumi hakuchangia, kusimamia wala kuratibu! cha kushangaza sijui hata kama ana uelewa wowote wa mambo ya UHANDISI wa barabara hadi akakague.... mi nilifikiri muda huu bwana LEMA angeacha mbwembwe na kutafuta umaharufu binafsi na kujikita zaidi katika ILANI za chama chake na kutekeleza ahadi zake alizowahaidi waNAARUSHA ambazo karibu zote hajazitekeleza zaidi ya kujitafutia umaharufu binafsi ambao hauna tija kwa WANAARUSHA na wanaCDM WOTE TANZANIA

Unasoma la ngapi? Kwanza rudisha hiyo simu ya mama unammalizia vocha kwa kujifanya unajua kutumia intanet...
 
Anakagua barabara lini kaijenga.

Ndo raha ya haka kamchezo ka kurusha mawe gizani, ukiskia yowe ujue limempata mtu...... teh teh teh, raisi wa Arusha amerudi toka honeymoon sasa kazi imeanza
 
pole kwa kwa kutokujua bara bara za arusha zimejengwa na nani,
kwa msaada tu ni kwamba zile barabara ni pesa toka bank ya dunia na zimesimamiwa na manispaa mpaka kujengwa
akuna pesa iliyotoka ccm na serikali yake na hata kabla lema ajarudishiwa ubunge wake alikuwa anafuatilia kwa umakini sana kujua ujenzi unaendeleaje na wakiwemo madiwani wa chadema wamesimama kwa pamoja kuhakikisha akuna hata shilingi inaliwa na ndo maana kleo umeona barabara ziko vile
kama uliambiwa ni ccm ndo imejenga basi kampe pole aliyekupa hizo taarifa na wananchi wote wa a rusha wanajua hilo
 
Mkuu hivi wewe ni Lini Utatumikiwa? Make unalala saa saba usiku unaamuka saa 11 asubuhi kuanza kutumikia wanaume kwenye mtandao, jiulize wewe umezaliwa kutumikia watu? ni lini na wewe utakuwa unakaa Kilimanjaro hoteli unapata Wine kutoka Brazil then watu watu wanakutumikia?



Hahahahaa nimecheka kishenzi coz mimi typically all the tym nimeminimize JF on my BB and ilove social networks. Nimenote ili uweze kuweka bandiko nyingi na quotes kama RITZ lazma usiwe na jambo jingine la kufanya unless politics is your 24/7 business. Otherwise utalaza kids na njaa. Ila hili ni tatizo, uhaba wa ajira umeishika tanzania pabaya..hawa vijana wanaoshinda huku JF na FB ni bomu lililoatamiwa!
 
Anakagua barabara kwa sababu zipo jimboni kwake na yeye ndo mbunge wa arusha mjini.

Suala sio kujenga yeye si analipa kodi hivyo na haki ya kukagua kama kiongozi.

Ana haki kukagua kodi za wananchi wake wa jimbo lake la arusha zinatumikaje
 
Kweli ww Itahwa umeaibisha jina hili,acha mahaba,mbunge jukumu lake kusimamia maendeleo lzma akague,km mmebug kinanuka.
 
Niliona rais kikwete akikagua gwaride la heshima alipotembelea china,hivi lile gwaride la jeshi kalifundisha yeye?si heshima tu ya muda mfupi aliyopewa? Sasa mbunge kapewa heshima ya kukagua miradi ya kimaendeleo JIMBONI KWAKE tena heshima ya muda mrefu wewe unapiga porojo zisizo na maana hapo?
 
We una fikiri kama mtoto mchanga! Yani unashindwa kujua kuwa hiyo pesa ya ujenzi wa barabara inatokana na kodi za wananchi! Ccm inapata pesa wapi kujenga barabara zaidi ya kutegemea kodi zetu?

Huu ni zaidi ya uvivu wa kufikiri!
 
Hili ndo tatizo la vijana kulishwa madesa bila hata kutaka kutafakari na kuelewa kilichomo mnakuja kutapika hapa. ccm haijawahi na haitawahi kuwajengea wananchi barabara. Miundombinu yote inayojengwa nchi hii ni kwa kodi zetu, ccm haitoi mfukoni mwake (mapato yake) katika kutekeleza miradi ya maendeleo.
Hata serikali inapokopa kama huu wa kujenga miundombinu ya barabara za jiji la Arusha ni sisi wananchi tunaolipa huo mkopo na si ccm.
Mkifungua akili zenu na mkaziruhusu zitafakari kidogo mtaona aibu ya kutumiwa na ccm kama misukule.
 
Anakagua barabara lini kaijenga.

Rafiki yangu Ritz mbunge ndiye msimamizi wa shighuli za maendeleo kwenye jimbo lake; kama vile afisa aliyetoka likizo anapopewa majumuisho ya mambo yaliyotendeka wakati akiwa likizo na kwa Mbunge wa Arusha anahitajika kupata huo mrejesho wa yote yaliyofanyika jimboni wakati akiwa likizo ya mahakama. Ni bahati mbaya sana watendaji wa Halmashauri hawatakuwa tayari kumpa huo mrejesho hivyo njia mbadala ni kukagua mwenyewe na atapokea adha za wananchi walizozipata wakati wa miradi hii mfano wenye maduka kunyanganywa bidhaa zao kwa sababu nyepesi kuwa wamepanga barazani.
 
Last edited by a moderator:
Hureeeeeeeeeeeee! Muandae na ndimu za kuwapa the gambaz, maana watakuwa na kichefux2
 
Naelewa unachosema, swali langu ni kwa nini muwape sababu hao wenye siasa kali na kwa nini msemo huo utumike kwenye chama ambacho hakijaidhinisha mungu?

Kwenye wimbo wa taifa hapo kuna kosa na wimbo huo ubadilishwe kwa sababu nchi ina watu wanaoamini na wasioamini mungu.

Ib adillike iwe nini? Shetani ibariki au?
Wacha udini ndugu yangu.
 
Elimu ya Mtanzania ni Ujinga, kwa kutumia ujinga wake sifa ya anachokiwaza akikitoa kwa maneno ama kwa maandishi ni ujinga mtupu, na ujinga mtupu unadhihirishwa na maneno ya kimajungu majungu, fitina, kidomodomo, kuropoka na akili kuwekwa gizani. Haya ndio tunayaona mtu mwenye akili hawezi kusema ccm mahali popote waliwahi kujenga barabara, wale ni wasimamizi. Ni msimamizi kwa kuwa CCM si serikali bali kikundi cha watu waliojisahau kuwa wamepewa dhamana ya kusimamia maisha ya watu katika kipande cha Tanzania kwa misingi ya utawala bora, wakageuka kuwa walaji wa nchi, wauza raslimali, wapenda sifa , wapenda fitina, wachonganishi, wasiona upeo wa kuona mbele zaidi ya kuvaa shati za kijani, njano, na nyeusi, wakipenda kutukuzwa na kupambwa kwa nyimbo za musica wa dansi na taarabu, wanasifa mbaya sana hawa jamaa hawajui nini maana ya kitu kinaitwa utawala bora. BARABARA ZINAJENGWA KWA MKOPO AMA KWA FEDHA ZINAZOTOKANA NA JASHO LETU. ANAYESHANGAAA MBUNGE KUKAGUA MAENDELEO YANAYOTOKANA NA KODI ZETU NADHANI AKAPIMWE UWEZO WAKE WA KUFIKIRI MKISHINDWA KUJIPIMA WENYEWE. AKIWAMO ANAJIITA RIZT NA ITAHWAAAAAAAAAAA WAKE.
 
Back
Top Bottom