Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 17,057
- 18,406
Hawaendi kufanya kampeni kwa kujibana maana na na wengine wakijubana wakakutana eneo moja wakati mmoja itakuwaje? Kuna ratiba siyo kujiamulia muda na siku unayotaka...Mtwara mjini alipita mwezi Septemba wakati wa awamu ya kwanza ya kampeni zake. Anaweza kufika tena safari hii akijibana.