Uchaguzi 2020 Ratiba ya Kampeni ya Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu kuanzia Oktoba 18 - 27, 2020

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
9,331
2,000
..Mtwara mjini alipita mwezi Septemba wakati wa awamu ya kwanza ya kampeni zake. Anaweza kufika tena safari hii akijibana.
Hawaendi kufanya kampeni kwa kujibana maana na na wengine wakijubana wakakutana eneo moja wakati mmoja itakuwaje? Kuna ratiba siyo kujiamulia muda na siku unayotaka.
 

prosper cliff

JF-Expert Member
Jan 19, 2017
450
500
Yeye mwenyewe ni ze comedy tosha
Nenda kaulize yeyote aliyehudhuria mikutano ya Lisu muulize Lisu alisemaje mkutano watakwambia hawakumbuki

Mgombea pekee ambaye watu hawamwelewi anaongea nini ni Lisu

Hata humu jamii forums waliacha kuandika alichosema wanapist tu ohh mapokezi ya Lisu mahali Fulani na picha za kuchakachua za waliohudhuria basi

Hawaandiki alichosema sababu hakipo!!!
Uhuru haki na maendeleo ya watu

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 

prosper cliff

JF-Expert Member
Jan 19, 2017
450
500
Singida hawamtaki toka awe mbunge hajawahi hata kuwasemea chochote hawataki .Kule watu wana misimamo ya kufa mtu

Sasa anaogopa kuwa akikosa kura kwake itakuwaje? Chadema watamfukuza kuwa hana faida kwenye chama chao
Yaan Lumumba wengi ni matako ya nyani aisee kwahyo huoni nyomi lake singida

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 

mhanila1

JF-Expert Member
Dec 15, 2017
877
1,000
Hivyo vyote vimiji viko kando ya barabara ya lami za Magufuli

Lisu kapita tu kama mtalii

Kodi nilipe mimi halafu we mjinga kabisa useme lami ya magufuli hiyo pesa aliitoa wapi yeye analipwa mshahara kwa kazi anayoifanya hivi hii nyumba ninayoishi inakuwaje ya fundi aliyejenga yaani mgeni aje kwanga halafu useme amelala kwenye nyumba ya fundi aliyeijenga badala mimi mmiliki ondoa huo upotolo wako
 

Trainee

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
836
1,000
Hivi ratiba ya maeneo wanaiweka wao halafu NEC wanawapangia siku tu au kila kitu wanapangiwa na NEC? Nauliza hivyo maana sina nijualo kwenye siasa lakini naona kama kuna maeneo yanarudiwa huku mengine yakiachwa kabisa
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
25,844
2,000
Hivi ratiba ya maeneo wanaiweka wao halafu NEC wanawapangia siku tu au kila kitu wanapangiwa na NEC? Nauliza hivyo maana sina nijualo kwenye siasa lakini naona kama kuna maeneo yanarudiwa huku mengine yakiachwa kabisa
Wagombea wenyewe ndio hujipangia ratiba na kuipeleka NEC kuidhinishwa
 

Reykijaviki

JF-Expert Member
Aug 25, 2020
286
500
Ule mchanga ndio alinunua nyumba 2 ngarenaro hakua na nyumba mjini,pia lile tumbo linabeba mbuzi mzima ni mlakua wa nyama kuliko fisi
Akienda mnadani hapo Getini karibu na Gesti ya laizer wanachomaga mbuzi anakula mguu wa mbuzi peke yake, kweli jamaa ni mlaku wa nyama! Vipi upepo mererani huyu mlaku wa nyama Ole Sendeka ana hata dalili kweli?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom