Ratiba ya chakula kwa bachela

Hujasema mizunguko yako kwa siku, hatujui inakuwezesha kula nyumban Mara zote tatu Au laaa?
Kwa kijana anayetafta maisha kweli kweli kwa vyovyote vile ratiba inabana, mm nakumbuka nimeish maisha ya kupika Mara moja sanaaa, yaan napika usiku wali kitu cha mpk kesho mchana nabadilisha mboga japo ndondo ndo kwa sana ukiweka na matunda sio mbayaa. Ila km mda upo hata Nazi waweza kuna na chapat ukasukuma
 
Asubuhi chai mkate


Mchana ugali mayai ya kukaanga au ugali na chumvi.


Jiona ugali na samaki wale dagaa maarufu kama site mirror na kachumbali au wali na tomato source
 
asubuhi kula hoho za njano angalau tatu shushia na juice ya fulu,mchana ukipata bombadia sio mbaya na usiku kale nyalandu tatu na zitto ine
 
asubui ugali mkubwa na mboga za majani na chai , mchana maziwa mgando usiku piga ndizi au wali nyama
 
Asbh gonga mihogo ya kukaanga bila chai
Mchana pika ugali wa kutosha mpaka ucku na ndondo kwa mama ntilie waweza nunua
 
Back
Top Bottom