RATCO Express-Usipime


bado hayo yatabaki kuwa ni maroli tu mliyoya-pimp yawe luxury buses.they're not original luxury bus.huwezi linganisha na Yutong Bus & Coach.period.
 
Mi naona wangeajiri machangu wote wa DOM (wasio na ukimwi lakini) kwa customer care ili wabunge wafanye kazi za uhakika kule Dodoma.
 
bado hayo yatabaki kuwa ni maroli tu mliyoya-pimp yawe luxury buses.they're not original luxury bus.huwezi linganisha na Yutong Bus & Coach.period.

Haijalishi whether ni tractor, lorry ama basi, mwisho wa siku natulia kwa raha zangu kwenye usafiri wa uhakika, na wenye raha, choo, internet WIFI, movies kwenye kiti, juice na bia kibao n.k. yaani huna haja ya kuhangaika.....Mambasa raha.
 
Hizi bus zinapiga route ya wapi? Nimetamani kusafiri ghafla!
 
Mabasi ya yutong ni kama vle mizoga tu! ......zipe miaka kama mitatu hivi......haha!....labda yangekuwa yametengezwa Uropa.
 
Dah sema route fupi yangekuwa yanaenda Dar-Mwanza,Dar-Mbeya una enjoy.Good
 

Hii mbas kiboko kiasi.
 
kama scandinavia haikufanyiwa fitna,.............
 
bado hayo yatabaki kuwa ni maroli tu mliyoya-pimp yawe luxury buses.they're not original luxury bus.huwezi linganisha na Yutong Bus & Coach.period.
Kaka acha ushamba unatuaibisha, huelewi unalosema unaposema lory unamaanisha nini,ungejua siku hizi hizo yutong haziimili mikikimikiki wanweka scania engine.a simple research angalia njia ya dar- kahama or dar-mwanza hamna cha yutong..ni hayo unayoyaita malori..rudi kwenye speed hata uwe na yutong gani husogezi pua kwa scania.
 

Eww, thats an old a*s bus, with interiors similar to a strip club.phew.
 

acha kukurupuka kijana,umedandia mjadala kwa mbele bila kuusoma vizuri.what we're discussing is the luxuriousness of buses not competency of engine and blablabla.inaeleweka wazi ktk upande huo wa engine scania hana mpinzani.ila kwa upande wa luxury buses,kibongo kibongo na EA kwa ujumla, mchina hana mpinzani pia.hutaki unaacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…