RATCO Express-Usipime

mabai mazuri hata mie nimeyakyubali, ila Dar Tanga si mbali kivilee kuweka all the luxury, mie wangeweka kama hayo kwa mabasi ya Arusha hata wakicharge 50,000 nalipa swaafii swadakta hata chenji sidai. Ila Tanga hakuna mashiko sana.
Ivo.
 
Angeleta ya kwenda arusha au mbeya akamue vya kutosha. Akiweka tanga tu anatukosesha uhondo na sie
 
hizi zimeletwa kureplace zile mbovu za saa 11 jioni?? au bado zipo??? maana ukipanda za muda huo jiandae kufika alfajiri ya siku inayofuata...
 
Hee bwanga ja tauni zumbemkuu so uku.
mkuu hiyo kazi niliacha baada yakunipa majaribu makubwa huko Zanzibar, asaiv nauza urembo mtaani
napaka rangi kucha, nasafisha kucha na mengine yanayofanana na hayo
 
lawmaina78 pitia hapa utuambie je kenya bus kama hizi mnazo?.

Dogo nishakwambia utachoka sasa ukikimbizana na Wakenya, sasa nyie ndio mnaletewa haya mabasi wakati kwetu yashakua ya kawaida, naona huna habari ya ngoma zile hutumika tokea Mombasa (Mambasa raha) hadi jiji la Nairobi. Usipime kaka







 

hamna kitu hapo.huwezi kufananisha body za ku-assemble mombosa zisizo zingatia vipimo na body anazo assemble mchina?.mabasi yenu pamoja na kuya-pimp yaonekane ya kisasa,nayachukulia kama maroli ya mizigo.
tazama vizuri bus za ratco?,usijitoe ufahamu.hiyo ni next level baab!ni ya kwanza EA.
 

Naomba ukiwa na hela zako uabiri VIP tokena Mambasa hadi Nairobi, utadhani ndege 1st class. Nimekuambia kwetu haya ni kawaida tu.

Hebu ona choo ndani ya bus, sio kama zile Dar express zenu utakojoa ukifika Korogwe halafu hadi Arusha.



Hostess services, pamoja na upishi




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…