Kukaja Kununu
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 1,075
- 1,204
Mimi pia nimeachwa jana saa 3: 30 usiku baada ya kufumania msg za mchepuko wanguHabari yenu wana jf Hatimaye leo tarehe 14/02/2020 ikiwa ni siku ya wapendanao muda saa 00:38 nimeachwa rasmi na aliyekuwa girlfriend wangu. Sijajua tatizo nini lkn nahisi itakuwa n sms zake za dalili ya mizinga ambazo nimezipotezea takrban siku 3 zlzopta. Naungana na mond kuwa moja ya wadau ambao tumetoswa kwenye siku hii muhimu dunian, ambao tumewahi mwagwa siku kama hii tujuane.
PoleLol! Pole.
Mimi pia nimetoka kuachwa hapa masaa kadhaa kabla ya valentine's day.
Umesema tukutane hapa tufanyaje? Tukaombeane msamaha? Au huu mkutano wa hapa unahusu nini?
Duh kuna watu ukisikia kaachwa huamini. Siamini.Lol! Pole.
Mimi pia nimetoka kuachwa hapa masaa kadhaa kabla ya valentine's day.
Umesema tukutane hapa tufanyaje? Tukaombeane msamaha? Au huu mkutano wa hapa unahusu nini?
Asante.Pole
Nimeachwa kweli.Duh kuna watu ukisikia kaachwa huamini. Siamini.
Ndio vizuri umeachwaLol! Pole.
Mimi pia nimetoka kuachwa hapa masaa kadhaa kabla ya valentine's day.
Umesema tukutane hapa tufanyaje? Tukaombeane msamaha? Au huu mkutano wa hapa unahusu nini?
Usimfundishe kutapanya mali
Kweli ndio kuombeana upweke huku? Nilitegemea usikitike.Ndio vizuri umeachwa
Wengine tupate nafasi