Rasmi nimeachwa leo siku ya valentines!!!

Kukaja Kununu

JF-Expert Member
Mar 27, 2017
1,075
1,204
Habari yenu wana jf Hatimaye leo tarehe 14/02/2020 ikiwa ni siku ya wapendanao muda saa 00:38 nimeachwa rasmi na aliyekuwa girlfriend wangu

. Sijajua tatizo nini lakini nahisi itakuwa n sms zake za dalili ya mizinga ambazo nimezipotezea takrban siku 3 zlzopta.

Naungana na mond kuwa moja ya wadau ambao tumetoswa kwenye siku hii muhimu dunian, ambao tumewahi mwagwa siku kama hii tujuane.
 
Habari yenu wana jf Hatimaye leo tarehe 14/02/2020 ikiwa ni siku ya wapendanao muda saa 00:38 nimeachwa rasmi na aliyekuwa girlfriend wangu. Sijajua tatizo nini lkn nahisi itakuwa n sms zake za dalili ya mizinga ambazo nimezipotezea takrban siku 3 zlzopta. Naungana na mond kuwa moja ya wadau ambao tumetoswa kwenye siku hii muhimu dunian, ambao tumewahi mwagwa siku kama hii tujuane.
Mimi pia nimeachwa jana saa 3: 30 usiku baada ya kufumania msg za mchepuko wangu
 
Aki na enjoy kukaa single siku hizi, siri hii nitamfichulia ataye hitaji.
 
Lol! Pole.
Mimi pia nimetoka kuachwa hapa masaa kadhaa kabla ya valentine's day.
Umesema tukutane hapa tufanyaje? Tukaombeane msamaha? Au huu mkutano wa hapa unahusu nini?
Duh kuna watu ukisikia kaachwa huamini. Siamini.
 
  • Thanks
Reactions: amu
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom