Rasmi nimeachana na mapenzi

Nadhani hakuwa wangu huyu Mungu atanipa mume mwema
Kabisa! Watu wengi hawajui hiki, Mungu akikupa Mume au Mke mtajikuta mnafanikiwa maisha yanakwenda, mnaeshimiana na kupendana hadi watu wanakua wanawashanga!
Ukishaona vita kila kukicha hapo kimbia!
 
Nlichojifunza kwenye mspenzi ukitaka kufokas sana unafeli, yachukulie kswaida. Kwako wewe naona ulikuwa unapiga mizinga sana. Hakunawansume anakaa kwenye mahusiano ya namna hiyo. Akikukula tu anaanza kukukataa, dont exchange sex for money, hata mm huwa sikai hapo
 
Masturbation itaua vijana wetu
 
Jimbo liko wazi??
 
Kabisa! Watu wengi hawajui hiki, Mungu akikupa Mume au Mke mtajikuta mnafanikiwa maisha yanakwenda, mnaeshimiana na kupendana hadi watu wanakua wanawashanga!
Ukishaona vita kila kukicha hapo kimbia!
Hakika mkuu wacha nisonge mbele
 
Siyo kweli mkuu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…