ngalakeri
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 1,648
- 1,379
Ndio walikuwa wanaongoza nchi nini?!Wajiondoe wote kwani wakijiondoa hatuishi. Tulikuwa na maendeleo wakati wa chama kimoja na upinzani umetuletea vurugu na umaskini tu
State agent
Ndio walikuwa wanaongoza nchi nini?!Wajiondoe wote kwani wakijiondoa hatuishi. Tulikuwa na maendeleo wakati wa chama kimoja na upinzani umetuletea vurugu na umaskini tu
State agent
Huna hadhi ya kumpuuza hata mwanangu wa darasa la pili wewe nyumbu wa Lumumba.
Vile ambavyo vimepewa fomu jana usiku wa manane ?Wewe ulifikiri hicho chama kingeweza kushinda hata mtaa mmoja? Vipi mbona hutangazi vile 11 vinavyoshiriki uchaguzi?
Kwa hiyo UPDP ndiyo itashinda mtaa mmoja? Wakati hata wagombea haikuweka?Wewe ulifikiri hicho chama kingeweza kushinda hata mtaa mmoja? Vipi mbona hutangazi vile 11 vinavyoshiriki uchaguzi?
Safi sanaChama cha NCCR-Mageuzi kimetangaza kujitoa kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24. Msimamo huo umetolewa leo na Mwenyekiti James Mbatia jijini Dodoma.
Unaishi vizur sana lakini waulize hawo mabwana zako kwanini wanaumia.Wajiondoe wote kwani wakijiondoa hatuishi. Tulikuwa na maendeleo wakati wa chama kimoja na upinzani umetuletea vurugu na umaskini tu
State agent
hahahhaaaaaaKama vipi ccm nao wajitoe waachie hivyo vilivyobaki
We jamaa unajua kujilipua kweli kweli! Hivi ni nani kaleta umaskini katika nchi hii? Yaan mnatamani kukana kuwa hamkuwahi kuongoza nchi hii tangu tupate uhuru! Bashite aliingia na mtutu pale Clouds ile sio vurugu? Bashite yupo upinzani?Wajiondoe wote kwani wakijiondoa hatuishi. Tulikuwa na maendeleo wakati wa chama kimoja na upinzani umetuletea vurugu na umaskini tu
State agent
😆😆😆😆Wameshikwa pabaya mno !
Safi sana!Ule mwitikio wa Vyama vya siasa kujiondoa kwenye uchaguzi haramu ulioitishwa na Jaffo aliyetumwa na ccm umeshika kasi baada ya Chama cha NCCR Mageuzi kutangaza leo kwamba hakitashiriki
Wewe jamaa kweli pulizo!Wajiondoe wote kwani wakijiondoa hatuishi. Tulikuwa na maendeleo wakati wa chama kimoja na upinzani umetuletea vurugu na umaskini tu
State agent
Hiyo nyumba ndogo ya madeluHii NCCR na CHAUMA walisimamisha wagombea?
Unaona aibu kama umejinyea ukweniMbatie amepotoshwa na kina Mbowe
Tumempuuza rasmi sasa
CCM safari hii mmeingia cha kiume mmebaki mnahahaWewe ulifikiri hicho chama kingeweza kushinda hata mtaa mmoja? Vipi mbona hutangazi vile 11 vinavyoshiriki uchaguzi?
Kwa namna wanavyofanya ni watu wasiojiamini pamoja na madaraka walionayo. Faulo walizofanya kwenye uchaguzi wa Wabunge waliowanunua, wapinzani wakakaa kimya. Sasa hapa ndio wakaona waongeze chumvi mana hawakujua out come.Wameshikwa pabaya mno !